Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

So far team imecheza vizuri, muda mwingi tupo na mpira kwa kuwa jamaa wameamua kutulia golini kwao huku wakisubiri tupoteze mpira, wafanye mashambulizi ya kushtukiza na set pieces, mpaka sasa hawajafanikiwa ila ndio silaha zao kubwa, suala la msingi ni vijana wetu kuwa makini tu muda wote.,
 
12 We are Supercopa Champions
1642365644058.png
 
Back
Top Bottom