Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

1638903994400.png
 
Usiku wa Ulaya umerudi tena, na Leo tupo Santiago Bernabeu dhidi ya Inter Milan, kikosi ni kama kinavyoonekana hapo juu,
Kitambaa cha Unahodha Leo kitavaliwa na Luka Modric, hii ni baada ya Marcelo na Nacho kuanzia bench, huku Benzema akiwa nje kwa majeraha.
#HalaMadrid ¡¡
 
Mbona tumeshinda sasa!!
Ni kama alivyo sema Ancelotti tu, kuwa kuna muda unashida kwa kucheza vibaya na kuna muda unashida kwa kucheza vizuri pia,suala la msingi sana na kushinda,ishu ya team kutocheza vizuri inategemea na vitu vingi ila inarekebishika
 
Lakini kama huchezi vizuri na unashinda inakuwa ni suala la muda tu kabla hiyo bahati haijaondoka.

Ancelotti aache uhuni, afundishe mpira. Amefanikiwa kukuza viwango vya wachezaji ila sasa adominate opponents kama timu kubwa nyingine zinavyofanya.
 
Teams starting line-up is out, and ours is as below;
The Real Madrid starting XI for the derby is: Thibaut Courtois; Dani Carvajal, Eder Militao, David Alaba, Ferland Mendy; Luka Modric, Casemiro, Toni Kroos; Marco Asensio, Karim Benzema, Vinicius
 
Back
Top Bottom