Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ninaona hawa wachezaji wa Real Sociedad mpira umewashinda sasa wana kazi ya kumtafutia Casemiro kadi ya njano ili mechi inayofuata asicheze
 
Camavinga ameingia kuchukua nafasi ya Casemiro, team inahitajika kuwa makini kwa kuwa bado muda ni mwingi plus, Camavinga hana uwezo mkubwa sana wa kukaba kama Casemiro
 
Wakuu hivi Eden Hazard our promising 'Ronaldo replacement' yuko wapi siku hizi!
Yupo Mzee, ana kazi ya kupasha bench moto, yaani kwasasa amedrop kweli kweli, ili apate nafasi ya kucheza ni asiwepo Rodrygo ama Asensio, hao ndio size yake kwasasa., amekuwa kama Isco tu kwa kweli, Isco hadi Antonio Blanco yupo juu yake kwenye pecking order.,

Kama inawezekana January kama vp club imruhusu tu yeye pamoja na wenzie Marcelo, Isco, Mariano Diaz na Bale waondoke tutafute damu changa, hawa jamaa wameshachoka na kukata tamaa.
 
Marcelo full back wetu Legend wa kushoto kwa miaka kibao unasema aondoke?

Kuna waku-replace nafasi yake upande wa kushoto?

Back wa kupanda na kushuka!

Anaenda anatengeneza cross kisha anarudi kulinda!

Kuna mbadala wake kwa sasa? Nani, Nacho Hernandez???

Hata ISCO unavosema aondoke mie napinga. Isco anatakiwa avae viatu vya Modric pindi atakapostaafu.
 
Marcelo ni legend hilo hata halina shaka, ila muda umemtupa mkono Mkuu, ni kwa heshima tu man unaona yupo hata bench, ila kiukweli ninadhani Ancelotti anaweza kumpa nafasi Miguel na kumuacha Marcelo nje.,
Isco Mkuu na yeye ni wale wale, Mbadala wa Modric kwasasa ndio kama hivyo tunamtengeneza Camavinga, atakuwa anacheza na wenzie Valverde na Antonio Blanco, so nafasi ya Isco pale kikosini kwasasa ni finyu sana.
 
Marcelo full back wetu Legend wa kushoto kwa miaka kibao unasema aondoke?

Kuna waku-replace nafasi yake upande wa kushoto?

Back wa kupanda na kushuka!

Anaenda anatengeneza cross kisha anarudi kulinda!

Kuna mbadala wake kwa sasa? Nani, Nacho Hernandez???

Hata ISCO unavosema aondoke mie napinga. Isco anatakiwa avae viatu vya Modric pindi atakapostaafu.
Well said Marcelo bado ana mchango mkubwa sana sio wa kuondoka
 
Well said Marcelo bado ana mchango mkubwa sana sio wa kuondoka
Mkataba wake unaisha msimu ujao, sioni akipewa mkataba mpya, kwanza ukizingatia kwasasa ana majeraha ya mara kwa mara sina uhakika na hilo, sema kwa upande wangu licha ya mchango wake mkubwa, ikitokea anatakiwa kusepa Mimi ninaona ni sawa tu, tunahitaji damu changa ya kumpa changamoto Mendy.
 
Huyu mnyama ni mwiba mkali Sana na namkubali Sana 👇

Screenshot_20211206-130631.png

Screenshot_20211206-130553.png

Screenshot_20211206-130254.png
 
Vinicius kwasasa yupo kwenye ubora wake plus ana confidence ya kutosha, Ancelotti amempa Uhuru wa kutosha, jambo jema ni kwamba Uhuru wake hauleti shida kwa team, so ni jambo jema kwa Madridistas kuona vijana wetu wanafanya vizuri uwanjani.
 
Dogo anisamehe ameni prove wrong nlikua namtukana sana zamani
Haukuwa peke yako Mkuu, Kijana alikuwa anazingua sana, anafanya vitu vizuri ila sasa akifika eneo la adui, either apoteze mpira kwa pass isiyokuwa na macho ama ampasie golikipa wa team pinzani, kuna mpaka kipindi Benzema na Mendy waliingia matatani baada ya camera kuwanasa wakimteta dogo kuwa hachezi nao, yeye ni mpinzani.,
Ila baada ya kuja Ancelotti kiukweli ameimarika sana.
 
Back
Top Bottom