Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Katika blunder tulifanya ni kumuuza Hakimi
Ile ninajua hata Zidane hakupenda ila alielewa, tulikuwa kwenye shinikizo la kubalance account zetu ili tuende Sawa na jamaa wa FFP, halafu kilichotokea sasa Inter wakashindwa kutulipa, ninadhani mpaka sasa hawajafanya hivyo, ni kama tuliwapa yule dogo bure man, Kibongo bongo tungeenda kudai arudishwe, ila tunapoelekea na hali ya Dani kupata majeraha mara kwa mara tunaweza kwenda kumnunua tena.
 
Real Madrid squad list: Ramos, Mendy, Marcelo and Valverde included for trip to Stamford Bridge.​

Goalkeepers: Thibaut Courtois, Andriy Lunin, Diego Altube.

Defenders: Eder Militao, Sergio Ramos, Nacho Fernandez, Marcelo, Alvaro Odriozola, Ferland Mendy, Miguel Gutierrez.

Midfielders: Toni Kroos, Luka Modric, Casemiro, Isco, Fede Valverde, Sergio Arribas, Antonio Blanco.

Forwards: Eden Hazard, Karim Benzema, Marco Asensio, Vinicius Junior, Mariano Diaz, Rodrygo Goes.
Hasta el final., Vamoos Real
 
Uwepo wa Mendy, na Valverde unatupa options nyingi za kushinda game ya leo achilia mbali jahazi kuongozwa na King Ramos.

Kweli kabisa Mkuu, Mendy akicheza huwa ninakuwa hata na amani, sio Marcelo unajua kabisa muda wowote anakuwa kichochoro., kama Valverde na yeye ataanza pia tutakuwa na option nzuri sana kati kati ya uwanja, kwasababu kijana ana speed na ni mzuri pia kwa kupress, hao wawili watabadili game kwa kiwango kikubwa sana.
 
Naona kz mnayo Leo.

Mwambieni kocha wenu acheze ule mfumo wa 4+3+3 mlio uzoea vijana wake si wamerudi wote?

Yaani mkicheza huo mfumo mnakufa asubuhi tu. Bora ata mcheze 3+5+2
 
Naona kz mnayo Leo.

Mwambieni kocha wenu acheze ule mfumo wa 4+3+3 mlio uzoea vijana wake si wamerudi wote?

Yaani mkicheza huo mfumo mnakufa asubuhi tu. Bora ata mcheze 3+5+2
Ninaona unapata sana shida na mfumo, huo mfumo wa 4 3 3 ndio tulioutumia dakika 15 za mwisho, mbona hamkutusumbua ama kutufunga, wewe weka kichwani kuwa leo mtakutana na team tofauti na ya awali, sasa nendeni na matokeo mfukoni mkalie
 
Usije baadae ukakimbia Huu uzi nakupa tahadhali mapema mdomo wako utakuponza nyinyi hamna team yakuifunga Chelsea
Walioyazoea haya makombe wametulia hamuoni kama mnawaletea noise pollution 😂 mjiongeze basi. Tatizo timu za EPL hasa vibonde Chelsea ni washamba mno wa fainali za UEFA, basi mmefika ka-semi final tu yani nyie na huyo kocha wenu mna makelele kibaaaao, yani tafrani 😂
 
Hawa si wanatembelea historia ..Sasa waambie kwenye hatua Kama hizi wenzao Barca Ile yenye ubora wa Khali ya juu 2012 walilala na viatu..
Kwenye hii timu sioni wa kumkaba mkata umeme Kante Ngolo..
Achilia mbali timu mzima..
#CFC
Kwenye hiyo hiyo historia ambayo na nyie vibonde Chelsea mnaitembelea pia labda nikukumbushe tu, semi final yenu ya mwisho kabisa ilikuwa miaka 7 iliyopita mliyopigwa 3:1 hapo stamford bridge na wahuni Atletico Madrid 👏 After then mmekuwa mkiishia round 16 kutokana na matokeo yenu mabovu mno mkiwa stamford bridge, jambo ambalo halishangazi kabisa kwa kuwa ndiyo historia/nyota yenu mnayotembelea mkuu 😂
 
Kwenye hiyo hiyo historia ambayo na nyie vibonde Chelsea mnaitembelea pia labda nikukumbushe tu, semi final yenu ya mwisho kabisa ilikuwa miaka 7 iliyopita mliyopigwa 3:1 hapo stamford bridge na wahuni Atletico Madrid After then mmekuwa mkiishia round 16 kutokana na matokeo yenu mabovu mno mkiwa stamford bridge, jambo ambalo halishangazi kabisa kwa kuwa ndiyo historia/nyota yenu mnayotembelea mkuu
Ao Atletico nenda kawaulize kilichowapata round hii..
Sisi siyo watu wa sifa sifa mingi.
#CFC
 
Back
Top Bottom