Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

EuMRK-FWYAQ726V
 
Mim binafs Si Mlaumu Zidane Coz Tumekuwa Na Majeruhi Wengi Sana hivyo Imepelekea Kuwa Na kikosi dhaifu mno.
Kikosi Ambacho hata CADIZ FC Wanatupiga.
Lakini nina Iman Tutafanya Vizur Kias.
#Hallamadrid
 
45 minutes no shot on target, halafu tunamlaumu Zidane kwasababu kuna wachezaji wanaozea kwenye bench. Atletico wame drop 4 points in only 3 days lakini tunashindwa kutumia nafasi hii vizuri
 
Unpredictable Zizou leo katupangia,
Cortois, Vazquez, Varäne, Nacho, Mendy, Casemiro, Kroos, Modric, Isco, Asensio and Vini.
Sasa hii sijui ni 4-4-2 au Isco atacheza kama false number 9. Tusubiri tuone.
In Zidane we trust.
 
Wakuu tafadhali naomba mwenye LINK ya kutazamia huu mpira wa Madrid anisaidie sasa hivi.
 
Mkuu links nilizokuwa naangalia football zote sasa hivi zimekuwa blocked au wanataka ulipie, sasa sijui imekuwaje! Luckily hii game inaonyeshwa kwenye TV, lakini napata shida sana kuangalia games nyingine. Labda wadau wengine watusaidie tu
 
Pamoja sana kiongozi; ngoja tuwasubiri walio na link waje kuokoa jahazi.
 
Jana katika kuhangaika na Google nikakutana na Aap

Jana katika kuhangaika na Google nikakutana na Aap moja inaitwa Hubo, nikajaribu kui download ndio nikafanikiwa kuangalia game ya Real madrid na Sociedad. Hata hivyo commententors walikuwa wanaongea kidutch lakini video inaonekana vizuri.
 
Naomba link mkuu
 
Asante sana mkuu. Pia kuna website moja hii hapa mdau wa JF alinishirikisha inaonesha vizuri sana kwenye PC: Football News - HesGoal.Com Sports News
 
Back
Top Bottom