Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Acha ujinga. Tukipoteza game moja probability ya Barca kubeba ndoo inaongezeka. Mfano game inayokuja tupoteze ndio utaona upepo unavogeuka!
Bi dada ili baselona waongoze ligi inabidi mechi ijayo #35 tufungwe kisha mechi #36 tutoe draw.....baada ya hapo sisi tutakua tunaongoza ligi huku tukilingana kwa points....

Ili wachukue ubingwa itabidi mechi #37 au 38 tufungwe au tudraw.....

Note:Wakati tunapepesuka hivi wao inabidi wao washinde mechi zooote.

Conclusion:La liga inabebwa na Madrid msimu huu
 
Tatizo Barca nao kila game wanashinda tu! Wananikera kweli. Jana wameshinda NNE moja. Yaani tukipoteza game moja tu basi ndoo tunaikosa tena kwa mara ya 5 mfululizo.
Wewe kama mpenda soka hunasababu ya kununua mwenzio akishinda. Sehemu la liga ilipofikia kila mtu ashinde mechi zake....
 
Imeishia hio
 
Kama Barca atashinda mechi nne zoote zikizobaki, atakuwa na jumla ya point 85.

Tunahitaji kuwa na points sawa na barca au tmzidi ili tuchukue ndooo.

Minimun, katika game 4 zilizobaki, tubebe point 8 kati ya 12.

Win x 2
Draw x 2
 
Zile mbili za home tunatakiwa tushinde zote ..afu za away tuitafute draw
 
The new Santiago Bernabeu will have both retractable roof and pitch. The pitch will allow the stadium to be used for other spot events and concerts.
 
i heard i come and conquer
Screenshot_20200709-150150.jpg
Screenshot_20200709-150207.jpg
Screenshot_20200709-150225.jpg
Screenshot_20200709-150249.jpg
Screenshot_20200709-150304.jpg
Screenshot_20200709-150320.jpg
Screenshot_20200709-182624.jpg
Screenshot_20200709-182609.jpg
Screenshot_20200709-182635.jpg
 
Back
Top Bottom