Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

We are almost there.
Tushamaliza mechi ngumu kwa sasa. Tulizobakiza tufanye uzembe tu wenyewe.
 
Badae tunahamia Estadio de la Ceramica tukiwa very relaxed. Maana naona kama pana draw nyingine.
 
1st goal. Ramos
1593961176864.gif

1593961115673.gif
 
Barca Do-Gs Endeleeni Kupiga Kelele .

Ni Hivi Hivi, Matuta Mpaka UCL Final, Na Kinyozi Yule Yuleeeee.

El Capitano Sergio Ramos
 
Zimebaki mechi 4 na tunaongoza kwa tofauti ya point 4

Ili Barcelona wachukue ubingwa itabidi kati ya hizi mechi 4,tufungwe mechi 2 na tudraw mechi moja kitu ambacho ni impossible
Tatizo Barca nao kila game wanashinda tu! Wananikera kweli. Jana wameshinda NNE moja. Yaani tukipoteza game moja tu basi ndoo tunaikosa tena kwa mara ya 5 mfululizo.
 
Tatizo Barca nao kila game wanashinda tu! Wananikera kweli. Jana wameshinda NNE moja. Yaani tukipoteza game moja tu basi ndoo tunaikosa tena kwa mara ya 5 mfululizo.
Hivi hua unaelewa unachoandika kweli?tumewaacha point 4 alafu tukose ubingwa kwa kupoteza mechi moja?
Achana na mpira fatilia ishu za mapishi.
 
Zimebaki mechi 4 na tunaongoza kwa tofauti ya point 4

Ili Barcelona wachukue ubingwa itabidi kati ya hizi mechi 4,tufungwe mechi 2 na tudraw mechi moja kitu ambacho ni impossible
Literally tumewaacha point 5. Maana hata tukiwa sawa kwa point bado sisi mabingwa.
 
Hivi hua unaelewa unachoandika kweli?tumewaacha point 4 alafu tukose ubingwa kwa kupoteza mechi moja?
Achana na mpira fatilia ishu za mapishi.

Acha ujinga. Tukipoteza game moja probability ya Barca kubeba ndoo inaongezeka. Mfano game inayokuja tupoteze ndio utaona upepo unavogeuka!
 
Acha ujinga. Tukipoteza game moja probability ya Barca kubeba ndoo inaongezeka. Mfano game inayokuja tupoteze ndio utaona upepo unavogeuka!
Bi dada ili baselona waongoze ligi inabidi mechi ijayo #35 tufungwe kisha mechi #36 tutoe draw.....baada ya hapo sisi tutakua tunaongoza ligi huku tukilingana kwa points....

Ili wachukue ubingwa itabidi mechi #37 au 38 tufungwe au tudraw.....

Note:Wakati tunapepesuka hivi wao inabidi wao washinde mechi zooote.

Conclusion:La liga inabebwa na Madrid msimu huu
 
Back
Top Bottom