Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,538
- 15,739
- Thread starter
- #43,061
Carvajal starting for Spain against Sweden. Sergio Ramos is suspended.
Hiki ni kikosi cha miaka 10 Iliyopita (2009-2019)...Pepe, Kaka, Casemiro, Figo, Beckam hawakusitahiri kuwepo kwenye kikosi cha decade kwa mjibu wa goal.com? View attachment 1235777
Ninachompendea Zidane ni udhubutu aliokuwa nao. Nimependa sana hili la kumpa Rodrygo nafasi, ngoja sasa tuone uwezo wa Dogo kwenye usiku wa Ulaya., #HalaMadrid
Dogo anajua sana aisee, ninapenda ana utulivu uwanjani, ni experience tu anakosa ila tumelamba dume kwa kumsajili huyu Dogo, ninadhan Vinicius anajifunza kwa Kijana mwenzieKuanza kwa rodrygo kumefanya niamke kujiandaa kusogelea tv
Leo sio haba, amejitahid kweli kweli, mpaka sasa ndio ametuweka mchezoni, laa sivyo saa hizi ungekuta tunakimbizana kuchomoa goliLeo kipa anajitahidi