PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,224
- 17,800
Zidane anachoweza ni kutembelea Timu walizotengeneza Wengine ili ajipatie Mafanikio kiurahisi.
Aliipata Real katika kipindi sahihi ambacho BALE, CR7, BENZEMA, MODRIC, KROOSE, MARCELO, NAVAS, RAMOS, CASEMIRO wapo on fire akawa anajipigia Kitonga tu!
Sasahivi wameshachoka hao wazee Zidane hajui afanye nini!!
Laufupi Zidane ni Mzee wa Kitonga tu
Sasa unaposema Zidane "wanted to build the team on his way" hapo ni false hope tu! Zidane hana uwezo wa Coaching wala kutengeneza Timu.
Zidane hawezi kutengeneza timu leo, wakati alitaka kuuza hao wakina Bale media, fans and all of the world was against him. Remember he wanted to bring new midfielders the board na kila mtu alikuwa anapiga kelele James abaki. How he could build new team without to sell some players? Real Madrid wakubali kuuza na kununua la sivyo sio Zidane tu kila manager akija hii timu tayari imeshapoteza connections uwanjani.