OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,127
- 24,062
Sasa wakati huo ninyi Liverpool hamkuwa na mvuto...Tatizo ni moja tu! Real inapotaka kuuza wachezaji wake inakosa Timu ya Kuwanunua hatimae wanishia kutolewa Kwa Mikopo kwasababu wao haiwahitaji kiwachezesha.
Miongoni kwa wachezaji waliopo Nje kwa Mikopo kwa kukosa timu za kiwanunia ni Kovacic na Ceballos.
Hata James alizunguka kwa Mkopo Bayern bila ya kupata Mteja wa kumnunua.
Unajua kwanini?
Kwasababu Bodi ya Real inawaekea wachezaji wake walioflop bei ambayo sio uhalisia kwa Wachezaji hao.
• Sisi Liverpool tulimtaka Asensio tukaambiwa anauzwa kwa £150m
• Tulimtaka Isco tukaambiwa ni lazima tuifikie Release Clause Yake (Sijui hata ni Pounds mia ngapi?)
• Tulimtaka Dani Ceballos tukaambiwa bei Yake ni £75m
• Hapo ukimtaka huyo James basi utaambiwa utoe £100m
• Ukimtaka Bale utaambiwa utoe £100m
• Tazameni bei muliyomuuza Moratta kwa Chelsea wakati ni very poor striker hata haiingii akilini.
• Luna timu nyingi tu za EPL zilivutiwa na Bale ikiwepo Man United na Spurs lakini hawakuweza kubid kutokana na kutokuwa tayari kumnuni Mchezaji mwenye umri zaidi ya Miaka 30+ kwa bei ambayo isingepungua £100m.
Kwahiyo Bodi lazima ilazimishe Zidane atumie wachezaji waliopo kwasababu Wakumuuzia kwa Bei wanazotaka Wao hayupo, Na kumwachia Zidane awauze kwa Bei ya Kisoko (Mfano wa £30 - 40m) hawako tayari.
Hata sammata angetakiwa na nini lazima angekataa tu