Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Zidane anachoweza ni kutembelea Timu walizotengeneza Wengine ili ajipatie Mafanikio kiurahisi.

Aliipata Real katika kipindi sahihi ambacho BALE, CR7, BENZEMA, MODRIC, KROOSE, MARCELO, NAVAS, RAMOS, CASEMIRO wapo on fire akawa anajipigia Kitonga tu!

Sasahivi wameshachoka hao wazee Zidane hajui afanye nini!!

Laufupi Zidane ni Mzee wa Kitonga tu

Sasa unaposema Zidane "wanted to build the team on his way" hapo ni false hope tu! Zidane hana uwezo wa Coaching wala kutengeneza Timu.

Zidane hawezi kutengeneza timu leo, wakati alitaka kuuza hao wakina Bale media, fans and all of the world was against him. Remember he wanted to bring new midfielders the board na kila mtu alikuwa anapiga kelele James abaki. How he could build new team without to sell some players? Real Madrid wakubali kuuza na kununua la sivyo sio Zidane tu kila manager akija hii timu tayari imeshapoteza connections uwanjani.
 
Tatizo ni moja tu! Real inapotaka kuuza wachezaji wake inakosa Timu ya Kuwanunua hatimae wanishia kutolewa Kwa Mikopo kwasababu wao haiwahitaji kiwachezesha.

Miongoni kwa wachezaji waliopo Nje kwa Mikopo kwa kukosa timu za kiwanunia ni Kovacic na Ceballos.
Hata James alizunguka kwa Mkopo Bayern bila ya kupata Mteja wa kumnunua.

Unajua kwanini?
Kwasababu Bodi ya Real inawaekea wachezaji wake walioflop bei ambayo sio uhalisia kwa Wachezaji hao.

• Sisi Liverpool tulimtaka Asensio tukaambiwa anauzwa kwa £150m

• Tulimtaka Isco tukaambiwa ni lazima tuifikie Release Clause Yake (Sijui hata ni Pounds mia ngapi?)

• Tulimtaka Dani Ceballos tukaambiwa bei Yake ni £75m

• Hapo ukimtaka huyo James basi utaambiwa utoe £100m

• Ukimtaka Bale utaambiwa utoe £100m

• Tazameni bei muliyomuuza Moratta kwa Chelsea wakati ni very poor striker hata haiingii akilini.

• Luna timu nyingi tu za EPL zilivutiwa na Bale ikiwepo Man United na Spurs lakini hawakuweza kubid kutokana na kutokuwa tayari kumnuni Mchezaji mwenye umri zaidi ya Miaka 30+ kwa bei ambayo isingepungua £100m.

Kwahiyo Bodi lazima ilazimishe Zidane atumie wachezaji waliopo kwasababu Wakumuuzia kwa Bei wanazotaka Wao hayupo, Na kumwachia Zidane awauze kwa Bei ya Kisoko (Mfano wa £30 - 40m) hawako tayari.
 
Sasa wakati huo ninyi Liverpool hamkuwa na mvuto...

Hata sammata angetakiwa na nini lazima angekataa tu
 
Ukiangalia gap la grezzie lishazibwa na dogo Felix. Atletico ni mabingwa wa kuuza na kununua. Walimuuza Falcao wakampandisha Costa, gap likazibwa. Wakamuuza Costa wakaibukia kwa Grezzy pengo likazibwa. Sasa kaondoka grezzy kaja felix.

Msimu huu wameondoka wachezaji 5 tegemeo wa kikosi cha kwanza. Captain Godin, Juan fran, Lucas Hernandez, Rodri, na grezzie, lakini mapengo yao yameshazibwa tena kwa ukamilifu kabisa. Ukiangalia kikosi cha Atletico cha sasa ni bora kuliko cha Barca na madrid. Mbio za ubingwa zitakuwa ngumu sana. Na kwa maoni yangu this tym Simion el cholo atanyanyua kombe japo ni mapema sana kusema haya.
Mkuu, Atletico sio rahisi kunyanyua hiyo ndoo, Barca ana nafasi kubwa mno.
 
Tatizo ni moja tu! Real inapotaka kuuza wachezaji wake inakosa Timu ya Kuwanunua hatimae wanishia kutolewa Kwa Mikopo kwasababu wao haiwahitaji kiwachezesha.

Miongoni kwa wachezaji waliopo Nje kwa Mikopo kwa kukosa timu za kiwanunia ni Kovacic na Ceballos.
Hata James alizunguka kwa Mkopo Bayern bila ya kupata Mteja wa kumnunua.

Unajua kwanini?
Kwasababu Bodi ya Real inawaekea wachezaji wake walioflop bei ambayo sio uhalisia kwa Wachezaji hao.

• Sisi Liverpool tulimtaka Asensio tukaambiwa anauzwa kwa £150m

• Tulimtaka Isco tukaambiwa ni lazima tuifikie Release Clause Yake (Sijui hata ni Pounds mia ngapi?)

• Tulimtaka Dani Ceballos tukaambiwa bei Yake ni £75m

• Hapo ukimtaka huyo James basi utaambiwa utoe £100m

• Ukimtaka Bale utaambiwa utoe £100m

• Tazameni bei muliyomuuza Moratta kwa Chelsea wakati ni very poor striker hata haiingii akilini.

• Luna timu nyingi tu za EPL zilivutiwa na Bale ikiwepo Man United na Spurs lakini hawakuweza kubid kutokana na kutokuwa tayari kumnuni Mchezaji mwenye umri zaidi ya Miaka 30+ kwa bei ambayo isingepungua £100m.

Kwahiyo Bodi lazima ilazimishe Zidane atumie wachezaji waliopo kwasababu Wakumuuzia kwa Bei wanazotaka Wao hayupo, Na kumwachia Zidane awauze kwa Bei ya Kisoko (Mfano wa £30 - 40m) hawako tayari.
Sijawahi kuchoka kusikiliza Madini yako mkuu.
 
Hahaha Navas alikuwa sahihi sana apo madirid ila kumuaminj Qotwaa ambaye ana laana ya fans wa Chelsea maana ni kama msaliti hivi ..iyo ni Ku take risk kubwa sana ...

Kuanzia Qotwaa mpaka uyu Ziddane timu nzima imepigwa

Cr7 alikuwa ni motivation kwa wachezaji wengi sana apo madirid ..na alikuwa sahihi kwake kuondoka ..maana kila kitu kabeba na hii timu.. Kasoro la liga nadhani
Amemlaani huyu jamaa anatobolewa kinoma ,wakati alikuwa stopper mzuri sana
 
Starting lineup.

#HalaMadrid

71208753_2208241015954790_3690957936265265152_n.jpg
 
Back
Top Bottom