Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hamna mpira usio na changamoto. Ndio mana kuna kukaba na kushambulia.

Leo wanacheza vizuri, kilichinifurahisha zaidi ni namna wanakaba baada ya kupoteza.

Issue ni kama wataweza duplicate performance kama hii mechi zijazo.

Good game for confidence building
Mimi leo nimeona hatujacheza vizuri sijui kwa nini ..yaani ata hizi goli tatu basi tuu kwa vile ni levante ..ila tukipata timu nzuri yenye ushindani tutapata changamoto mno
 
Timu imecheza vzr,changamoto nimeiona upande wa beki ya pembeni Marcelo na carval,wanashambulia vzr tatizo linakuja tunaposhambiliwa,
 
Tatizo linaloikabili Madrid kwa sasa ni kutokuwepo kwa Christiano ronaldo. Hili wengi wanaogopa kulisema. Zidane ni kocha wa kawaida kabisa, kama walivyo kina Moyes, Pulis, na wengine wa aina hiyo.
Mafanikio yake kwa % kubwa yalibebwa na Mnyama mkatili CR7. Kitendo cha kurudi kuifundisha baada ya kujiuzuli alikosea sana. Alishindwa kusoma nyakati. Ameamua kuichafua cv yake ya ukocha ambayo kwa haki kaandikiwa na ronaldo.

Huu msimu sijui nini kitatokea. Ila nachoamini, hamwezi kuwa juu ya barcelona, Atletico de madrid, na Sevilla. Kwa maana hiyo ni kwamba ubingwa kwa msimu huu hamwezi kupata.
Rubbish
 
Watu watashangaa display itakayowekwa na Real Madrid leo. Ile timu imejaa talents, sioni sababu ya kuibeza.
 
Official Real Madrid XI vs PSG: Courtois; Carvajal, Varane, Militão, Mendy; Casemiro, Kroos, James; Bale, Benzema Hazard.
 
Real Madrid Bench:

• Areola
• Vazquez
• Jovic
• Odriozola
• Vinicius Jr
• Rodrygo
• De La Fuente
 
Parc des Princes | Karim Benzema


EEw9RKsW4Awq1eM
 

Similar Discussions

37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom