Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mkuu,sisi wote madrid,ila hili la kunyanyua ndoo msimu huuu,mhhhhhhh!!!!!!
Modern football is about Money bro. Milan hawana hela ya kumpa mkataba kama wa Real Madrid. Kuhusu kudhalilika ni mtazamo wako, kama our rivals are better than us we'll see on the pitch. Mimi naamini bado tuko na competitive squad japo tuna hick up za hapa na pale. Zidane akinyanyua ndoo utarudi kumpongeza, we subiri tu.
 
Mkuu,sisi wote madrid,ila hili la kunyanyua ndoo msimu huuu,mhhhhhhh!!!!!!
Aldonae, post: 32793139, member: 267429
Mkuu mbona unakata tamaa mapema hivyo, msimu ndio kwanza unaanza chochote kinawezekana., kwahiyo kuwa na Imani tu uwezekano wa kuchukua Kombe upo tena mkubwa tu, #HalaMadrid
 
Me nacho ona zidane ni kutanguliza utaifa tuu ndio kinacho cost timu ..mtu kama varane weka nje mara 1,1 ili akili zimrudi vizuri
Katka Hilo hauko sahihi kipa namba tatu wa Madrid ni mtoto wa zidane wa kuzaa hajampa namba kwa sababu hyo atakuja ampe varane kwa sababu ya utaifa wakat kamuacha mwanae wa kumzaa??? Ndyo utamuacha varane utamuweka Nani utasema amuweke nacho syo sahihi
 
Mkuu nafasi ya pili naamini wanaweza wakashika, hata Atletico pia wana gap la kuondokewa na Griezmann.

Na Madrid kuanzaga msimu vibaya ni kawaida kwake, Madrid hanaga kismati na La Liga, tazama miaka 11 Madrid kabeba La Liga ngapi na Barca ngapi.

Zidane kaamua kuharibu CV kwa sababu ya pesa, mtu mwenye akili timamu alikuwa anajua kabisa Madrid kuondoka kwa Ronaldo na wale wachezaji waliobaki sio rahisi kufanya vizuri sana, wachezaji wa Madrid wanahesabika.

Pale mtu ambae ni mzima kabisa, ni Ramos ( japo muda mwingine inategemea hali ya timu ktk mechi husika) na Casemiro. Modric upepo ushaanza kuishs, Kroos muda wowote umeme unakata pale.

Madrid inahitaji kuondoa watu wengi mapema pale.
Ukiangalia gap la grezzie lishazibwa na dogo Felix. Atletico ni mabingwa wa kuuza na kununua. Walimuuza Falcao wakampandisha Costa, gap likazibwa. Wakamuuza Costa wakaibukia kwa Grezzy pengo likazibwa. Sasa kaondoka grezzy kaja felix.

Msimu huu wameondoka wachezaji 5 tegemeo wa kikosi cha kwanza. Captain Godin, Juan fran, Lucas Hernandez, Rodri, na grezzie, lakini mapengo yao yameshazibwa tena kwa ukamilifu kabisa. Ukiangalia kikosi cha Atletico cha sasa ni bora kuliko cha Barca na madrid. Mbio za ubingwa zitakuwa ngumu sana. Na kwa maoni yangu this tym Simion el cholo atanyanyua kombe japo ni mapema sana kusema haya.
 
Katka Hilo hauko sahihi kipa namba tatu wa Madrid ni mtoto wa zidane wa kuzaa hajampa namba kwa sababu hyo atakuja ampe varane kwa sababu ya utaifa wakat kamuacha mwanae wa kumzaa??? Ndyo utamuacha varane utamuweka Nani utasema amuweke nacho syo sahihi

Kumbe ufatilii mechi au updates za madrid we unajua mtoto wa zidane kaondoka lini?.
Pia unafahamu kwamba madrid wanausajili wa beki wa kati na yuko vizuri
 
Inshu syo kumsajili mchezaji Kwan wewe unajua varane amekuwa pale kwa kipnd gani?????varane amekuwa pale Madrid toka kipnd Cha Mourinho Na alishindwa kumuamin akawa anacheza Pepe Hadi alipokuja benitez na ikawa hivyo hivyo amekuja zizo ndo akapata namba ya uhakika Hadi mwisho wa siku amenyanyua ndo ya uefa Na wc Sasa leo hii ukamwamini mtu uliemsajili juzi hajapata uzoefu itakuaje???? Mpira muda mwingi unahitaj combination kuliko uwezo wa mtu mmoja mmoja hilo lazma ulitambue Basi wew ni sawa na wale wanao sema Madrid ivunje kikosi kizma iunde upya itawachukuwa misimu miwili kuanza kuzoeana na kufanya vizur Na Kuna wachezaji wanaofanya vizur leo kesho wanavurunda au ndo mnawataka ????? Unakuwa Kama hujui mpira Kaka unakurupka unasema alishaondoka kijana wa zizo lkn alishawahi kupewa nafasi hata kabla hajaondoka Na Baba akiwepo pale???? Leo hii aje atumie kigezo kwa varane?? Cha utaifa
 
Umeandika bla bla mingi ...kama defensive ilikuwa umekamilika kwa nini team ilifanya usajili

Ujui lolote tuache na timu yetu
 
Umeandika bla bla mingi ...kama defensive ilikuwa umekamilika kwa nini team ilifanya usajili

Ujui lolote tuache na timu yetu
Hivi wewe unaojua mpira vizur au umeanza ln kufatilia mpira??? Inaonekana umeanza Jana hivi ametoka Ronaldo.na kroos,modric, Ramos, Marcelo umri umewaacha halafu ndo injin za pale wamechoka wanaachaje kusajili pia kitu ambacho Kuna wachezaji wanaouwezo wa kucheza timu ndogo tu ukiwapeleka kwenye timu kubwa wanachemka au hilo hulijui????
 
Ujui kitu tuache na timu yetu ,unaandika bla bla havieleweki jaribu mambo mengine
 
Ndiyo munaandaa €210 kwa ajili ya Salah?

Zileteni haraka sana tuwauzie mchana kweupeeee tuwapige kama tulivyowapiga Barcelona kwa Coutinho.
 
Back
Top Bottom