Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Sasa mulitaka aondoshe First XI yote na anunie First XI mpya?

Mumetumia zaidi ya €300m na kuwa ndiyo timu ilitotumia hela nyingi kuliko timu yoyote barani Ulaya halafu still munalalamika.

Yani hakuna timu inayobadilishwa kikosi kizima

Kubadilisha kikosi kizima hapana, bali wachezaji aliotaka kutia sokoni hawakuondoka kwa sababu tofauti. Kwa mfano tumeona Mariano refused all the offers. Huwezi kuingiza mchezaji Kabla ya kuuza. Walichomuahidi Zidane hakikutokea. Nimesema let's support Real Madrid the way it is. No negative comments.
 
Hii ya Mariano kidogo imenchekesha , Kijana amemua kukomaa kuwa haendi kokote, ninaona kukaa bench Real Madrid kuna uafadhali kuliko.kwingine sio., aliona mwenzie Bale alivyokomaa na yeye akafuata njia, ila acha tu abaki anaweza kutusaidia huko mbeleni sababu msimu ni mrefu sana na kuna majeruhi so ninadhan atapata nafasi ya kucheza huko baadae., kinachonifurahisha ni kuwa anajituma sana kwenye mazoezi ninadhan ana lengo zuri tu la kuisaidia team atakapo hitajika.
Sema kuna wachezaji wengine huwezi kuwalelewa nia yao, Mfano Isco, Lucas Vasquez, Nacho. na Asensio, huwezi kusikia wanalalamika kuwa wanaanzia bench ama wanacheza mechi chache, wao ninadhan wanapenda tu kuwa Real Madrid.
 
Wachezaji wengi wa ki spanish ndio wako ivyo tena kama huyo nacho yeye vyovyote sawa tuu..ata yule mwenzake kiko casilla alikuwa goli kipa
 
Tatizo linaloikabili Madrid kwa sasa ni kutokuwepo kwa Christiano ronaldo. Hili wengi wanaogopa kulisema. Zidane ni kocha wa kawaida kabisa, kama walivyo kina Moyes, Pulis, na wengine wa aina hiyo.
Mafanikio yake kwa % kubwa yalibebwa na Mnyama mkatili CR7. Kitendo cha kurudi kuifundisha baada ya kujiuzuli alikosea sana. Alishindwa kusoma nyakati. Ameamua kuichafua cv yake ya ukocha ambayo kwa haki kaandikiwa na ronaldo.

Huu msimu sijui nini kitatokea. Ila nachoamini, hamwezi kuwa juu ya barcelona, Atletico de madrid, na Sevilla. Kwa maana hiyo ni kwamba ubingwa kwa msimu huu hamwezi kupata.
 
Wajamaa ninadhani wanaridhika na.status ya Real Madrid, sababu husikia hata tetesi kulalamika kuwa hawapatiwi muda wa kucheza mara kwa mara, Kwao ni Sawa tu. Ngoja tuone msimu huu kama wata angalau pigania namba na wenzao.
 
Zidane alitakiwa atulie tu pembeni
Sioni sababu ya Zidane kukaa pembeni, huko ni.kukata tamaa kitu ambacho sikioni kikitokea kwa Zidane, team ipo kwenye cycle hilo lazma ulitambue, ninachoomba ni vijana wakomae na.uwezo huo wanao kabisa ili watoboe msimu huu ili phase II ya kuimarisha kikosi afanye tena mwenyew Zizou., hapo ndio tutaanza kufurahia tena mafanikio.,
 
Tatizo linaloikabili Madrid kwa sasa ni kutokuwepo kwa Christiano ronaldo. Hili wengi wanaogopa kulisema. Zidane ni kocha wa kawaida kabisa, kama walivyo kina Moyes, Pulis, na wengine wa aina hiyo.
Mafanikio yake kwa % kubwa yalibebwa na Mnyama mkatili CR7. Kitendo cha kurudi kuifundisha baada ya kujiuzuli alikosea sana. Alishindwa kusoma nyakati. Ameamua kuichafua cv yake ya ukocha ambayo kwa haki kaandikiwa na ronaldo.

Huu msimu sijui nini kitatokea. Ila nachoamini, hamwezi kuwa juu ya barcelona, Atletico de madrid, na Sevilla. Kwa maana hiyo ni kwamba ubingwa kwa msimu huu hamwezi kupata.

Mkuu unaongea tu bila kufikiria. Angekaa pembeni ili iweje? Zidane kaombwa kurudi pale kwa mkataba mnono, we unajua mkataba wake ni Euro milioni ngapi? Zidane hata akifukuzwa leo anapewa hela zake zote, ulitaka akatae kupiga pesa ili alinde CV?
 
Zizou hana njaa, alitakiwa kwenda vilabu vingine haswa ufaransa na italia. Maana anafahamu soka la nchi hizo mbili. Vilabu kama marseile, lyon, inter Milan na hata milan angefit humo.

Lakini kitendo cha kurudi pale bernabeu kwa sababu tu kaombwa anaenda kudhalilika. Na ashukuru makali ya barcelona nayo kwa sasa yamepungua, vinginevyo gap la point lingekuwa kubwa sana.

Huu mwaka ni wa Atletico Madrid, washindwe wenyewe.
 
Modern football is about Money bro. Milan hawana hela ya kumpa mkataba kama wa Real Madrid. Kuhusu kudhalilika ni mtazamo wako, kama our rivals are better than us we'll see on the pitch. Mimi naamini bado tuko na competitive squad japo tuna hick up za hapa na pale. Zidane akinyanyua ndoo utarudi kumpongeza, we subiri tu.
 
Zizou hana njaa, alitakiwa kwenda vilabu vingine haswa ufaransa na italia. Maana anafahamu soka la nchi hizo mbili. Vilabu kama marseile, lyon, inter Milan na hata milan angefit humo.
Lakini kitendo cha kurudi pale bernabeu kwa sababu tu kaombwa anaenda kudhalilika. Na ashukuru makali ya barcelona nayo kwa sasa yamepungua, vinginevyo gap la point lingekuwa kubwa sana.
Huu mwaka ni wa Atletico Madrid, washindwe wenyewe.
Mkuu sijaona Zizou kama Zizou amekosea kurudi Madrid, kwa vyovyote vile bado angerudi kufundisha na bado kila mtu angempima kutokana.na mafanikio aliyopata akiwa na Real Madrid., kwanza maneno ndio yangekuwa mengi kwamba alikuwa anabebwa na team na hana uwezo wa kufundisha.
Hizo team unazozitaja kwanza ndio angedhalilika zaid sababu hizo team hazitachukua kikombe Leo wala kesho, wao wanapigania kucheza michuano ya Ulaya tu na sio kushinda kikombe.,
Kwa upande wa kuijua ligi sijui umeangalia kigezo gani, sababu Zizou alistafu soka akicheza La Liga na akichezea Real Madrid, kwahiyounaweza kuona ufahamu wake wa ligi na club anaegemea wapi.
 
We nawe unaongea tu, utadhani CR7 alikua Madrid toka ianze.

Wamepita makocha wangapi na CR7 akiwepo na hawakuweza kufanya ya Zizou.

Acha kukariri.
Tatizo linaloikabili Madrid kwa sasa ni kutokuwepo kwa Christiano ronaldo. Hili wengi wanaogopa kulisema. Zidane ni kocha wa kawaida kabisa, kama walivyo kina Moyes, Pulis, na wengine wa aina hiyo.
Mafanikio yake kwa % kubwa yalibebwa na Mnyama mkatili CR7. Kitendo cha kurudi kuifundisha baada ya kujiuzuli alikosea sana. Alishindwa kusoma nyakati. Ameamua kuichafua cv yake ya ukocha ambayo kwa haki kaandikiwa na ronaldo.

Huu msimu sijui nini kitatokea. Ila nachoamini, hamwezi kuwa juu ya barcelona, Atletico de madrid, na Sevilla. Kwa maana hiyo ni kwamba ubingwa kwa msimu huu hamwezi kupata.
 
We nawe unaongea tu, utadhani CR7 alikua Madrid toka ianze.

Wamepita makocha wangapi na CR7 akiwepo na hawakuweza kufanya ya Zizou.

Acha kukariri.

Ndio hapo mi nasema, Real Madrid haimiss Cristiano peke yake, wapo wengi, Di Stefano, Redondo, Roberto Carlos na wengineo
 
Wakati Zizou anakabidhiwa timu kwa mara ya kwanza unakumbuka ilikua na hali gani?
Aliongozeka mchazaji gani wakati ule?

Nyio ndio wale mnafatilia matokeo tu.
Hao makocha wengi walikuwa na Calibre ya wachezaji aliokuwanao Zizzou?
 
Wakati Zizou anakabidhiwa timu kwa mara ya kwanza unakumbuka ilikua na hali gani?
Aliongozeka mchazaji gani wakati ule?

Nyio ndio wale mnafatilia matokeo tu.

Mimi sizungumzii squad players aliokuwanao! Bali ninawazungumzia Key players waliompa Mafanikio.

1) Ronaldo
2) Bale
3) Benzema
4) Kroose
5) Modric
6) Ramos
7) Marcelo

Hao ndiyo wachezaji ambao walimpa mafanikio Zizzou na aliwarithi kutoka kwa watangulizi wake.

Timu ilikwishajengwa na Watangulizi wake ambapo Foundation ya Mourinho ilihusika! Yeye kama kaboresha baadhi ya Maeneo ndiyo akapata mafanikio kwa jasho la Wengine.

Ronaldo ameshaondoka, Benzema anaelekea ukingoni, Bale anaelekea ukingoni, Modric umri unasoge, Kroose umri unakaribia kusogea, Marcelo umri unasogea, Ramos umri unasogea...
Sasa subiri tuone Timu anayoitengeneza yeye kwa Jasho lake ya Kina Hazard tuone itakachokifanya.
 
Tatizo linaloikabili Madrid kwa sasa ni kutokuwepo kwa Christiano ronaldo. Hili wengi wanaogopa kulisema. Zidane ni kocha wa kawaida kabisa, kama walivyo kina Moyes, Pulis, na wengine wa aina hiyo.
Mafanikio yake kwa % kubwa yalibebwa na Mnyama mkatili CR7. Kitendo cha kurudi kuifundisha baada ya kujiuzuli alikosea sana. Alishindwa kusoma nyakati. Ameamua kuichafua cv yake ya ukocha ambayo kwa haki kaandikiwa na ronaldo.

Huu msimu sijui nini kitatokea. Ila nachoamini, hamwezi kuwa juu ya barcelona, Atletico de madrid, na Sevilla. Kwa maana hiyo ni kwamba ubingwa kwa msimu huu hamwezi kupata.
Zidane amerufi kuja kuwaprove wrong nyie. Labda nikwambie hakuna kitu kibaya kama timu kucheza kwa kumzunguka mtu yaan timu icheze kwa kumtegemea mtu mmoja ni mbaya sana. Angalia Barca wanavyopata shida Messi hayupo, angalia Chelsea, Madrid na hiki kitu nakiona kinaenda kwa Liverpool japo bado kwa sasa. Mimi nashukuru Ronalfo hayupo hiyo ni fursa kwa sasa Zidane ajenge timu itakayocheza pamoja, itakayomruhusu kila mchezaji kupanda na kushuka. Kinachosumbua kwa sasa Madrid nadhani ni Midfield na Defense hasa mabeki wa pembeni. Tunahitaji CM kuwa backup Kroos na Modric naona washaanza kuchoka hawa. Kwenye defense hasa ya full back labda hawa waliomajeruhi wakipona wanaweza rudisha uhai.

Mkuu kama hayo yakienda vizuri nadahni Zidane mtamtamani na hamtataka kukutana na Madrid.
 
Sijaitazama Madrid mda kidogo, hivi bado Kroos na Modric wanapata namba pale? Benzema je?
 
Tatizo linaloikabili Madrid kwa sasa ni kutokuwepo kwa Christiano ronaldo. Hili wengi wanaogopa kulisema. Zidane ni kocha wa kawaida kabisa, kama walivyo kina Moyes, Pulis, na wengine wa aina hiyo.
Mafanikio yake kwa % kubwa yalibebwa na Mnyama mkatili CR7. Kitendo cha kurudi kuifundisha baada ya kujiuzuli alikosea sana. Alishindwa kusoma nyakati. Ameamua kuichafua cv yake ya ukocha ambayo kwa haki kaandikiwa na ronaldo.

Huu msimu sijui nini kitatokea. Ila nachoamini, hamwezi kuwa juu ya barcelona, Atletico de madrid, na Sevilla. Kwa maana hiyo ni kwamba ubingwa kwa msimu huu hamwezi kupata.
Mkuu nafasi ya pili naamini wanaweza wakashika, hata Atletico pia wana gap la kuondokewa na Griezmann.

Na Madrid kuanzaga msimu vibaya ni kawaida kwake, Madrid hanaga kismati na La Liga, tazama miaka 11 Madrid kabeba La Liga ngapi na Barca ngapi.

Zidane kaamua kuharibu CV kwa sababu ya pesa, mtu mwenye akili timamu alikuwa anajua kabisa Madrid kuondoka kwa Ronaldo na wale wachezaji waliobaki sio rahisi kufanya vizuri sana, wachezaji wa Madrid wanahesabika.

Pale mtu ambae ni mzima kabisa, ni Ramos ( japo muda mwingine inategemea hali ya timu ktk mechi husika) na Casemiro. Modric upepo ushaanza kuishs, Kroos muda wowote umeme unakata pale.

Madrid inahitaji kuondoa watu wengi mapema pale.
 
Umekiri hapo hujaangalia Madrid mda mrefu, alafu unatoa analysis . Wabongo bana.
 
Similar Discussions

37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom