Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,089
- 5,159
Hii droo ya Leo haikuniumiza kichwa sana sababu niliitegemea, Hawa nyambizi wa manjano kila msimu ni lazima watuletee shida, kuna muda niliona kama uwezo wa kuwafunga ulikuwepo sema ndio mpira wa miguu ulivyo.
Vijana wamejitahidi sana, Nillipenda solid defense ya Mendy, Marcelo ajipange kiukweli, ni ile chemistry na wenzake anakosa wakati wa kwenda kushambulia ila yupo poa sana.
Beki wa kati huko mbeleni ninaona Zidane akimweka.mmoja wao bench ili Miltao ajaribu comb mpya akimtumia Miltao.
Jovic ningependa pia kuona akianza mbele ya Benzema, dogo angalau aweza hata kutuliza mpira, ni maelewano anakosa tu na wenzake, ila ninatarajiamakubwa kutoka kwake.
Ni kweli tunapoteza point kirahisi ila bado nina Imani kabisa na hii team.