PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,226
- 17,803
Ndio changamoto iyo unaangaika na mchezaji kama benzema lucas vasquez ukitegemea tema ikupe matokeo ..pia mfumo usio rasmi ..na za chini chini zidane hakubaliani na jovic
9
Habari za Jovic sio za kweli, kwa mara ya kwanza ziliandikwa na gazeti la Serbia na Marca wakakopi kama zilivyo. Kiukweli Zidane counts on him abadilishane na Benzema. Waserbia wasianze kuleta zengwe, inachotakiwa Luca Jovic hata akipewa 10 minutes azitendee haki. Isiwe kama James, kachezeshwa more than half season akashikwa masikio na magazeti ya kwao Colombia akaanza kuleta drama