Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ndio changamoto iyo unaangaika na mchezaji kama benzema lucas vasquez ukitegemea tema ikupe matokeo ..pia mfumo usio rasmi ..na za chini chini zidane hakubaliani na jovic
9


Habari za Jovic sio za kweli, kwa mara ya kwanza ziliandikwa na gazeti la Serbia na Marca wakakopi kama zilivyo. Kiukweli Zidane counts on him abadilishane na Benzema. Waserbia wasianze kuleta zengwe, inachotakiwa Luca Jovic hata akipewa 10 minutes azitendee haki. Isiwe kama James, kachezeshwa more than half season akashikwa masikio na magazeti ya kwao Colombia akaanza kuleta drama
 
Exactly 21 hours to our first game. I'm excited to see what the season has for us. Real Madrid is never dull. Hala Madrid.
 
REAL MADRID STARTING XI: • Courtois; Odriozola, Ramos, Varane, Marcelo; Kroos, Casemiro, Modrić; Bale, Benzema, & Vinicius Jr.
 
Our First Match of the Season


68759637_2145424138903145_8637625956099424256_n.jpg
 
Tunaongoza lakini still no game plan, pale katikati dimba limekuwa kubwa sana kwa upande wetu. Mpira wote unaopigwa na Celta Vigo. Yaani 64% of ball possession in the first 30 minutes.
 
Back
Top Bottom