Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

I love Marcelo but this is a time to excuse us, anaacha bonge la gape pale nyuma, Nacho is very slow, I don't know why is he still there till today? Huyu Odriazola hawezi kucheza aerial dual kabisa na akikutana na wachezaji wasiojua fair play kama Diego Costa au Suarez sijui kama ataweza kuwadhbiiti. Kwa kifupi hii sio defence ya kuitegemea kucheza game mbili kwa wiki. Kuna watu humu hawajui mpira watakwambia tatizo Ronaldo hayupo.

Exactly Mkuu, ukiwaweka pamoja hao wandugu hesabu majanga, kipindi cha nyuma Ramos ama Casemiro walikuwa wanacover hiyo nafasi ya Marcelo, ila kwasasa wamezidiwa, ngoja tuone Mendy anaweza kutusaidiaje kwenye huo upande, Nacho na Odriozola ninajua msimu huu ni wa mwisho kwao pale Bernabeu, Nacho mpaka Leo yupo sababu Vallejo alipata sana majeraha msimu uliopita akashidwa kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara, Watapungua hivyo hivyo mpaka tupate sura mpya kwenye team,.
 
Andriy Lunin at his first training session with Real Valladolid.


EB7x0V9XsAIUrHF
 
Rodrygo’s medical report. Out with a thigh injury. He’ll miss Castilla’s next friendly. Not expected to be too serious

EB7unhVX4AEvF9I
 
Jugones: Kubo stopped his loan move to Valladolid. Kid is on a mission to play first team football for Real Madrid this season...

EB5WsqMX4AAgp6f
 
Colombia's Former vice-president, Humberto de la Calle: “I propose a National Pact: if we are doomed to hate, then let's agree to hate Zidane. Long live James!" He later deleted the tweet


EB3w7SZXoAAUis9
 
Ndio changamoto iyo unaangaika na mchezaji kama benzema lucas vasquez ukitegemea tema ikupe matokeo ..pia mfumo usio rasmi ..na za chini chini zidane hakubaliani na jovic
9


Habari za Jovic sio za kweli, kwa mara ya kwanza ziliandikwa na gazeti la Serbia na Marca wakakopi kama zilivyo. Kiukweli Zidane counts on him abadilishane na Benzema. Waserbia wasianze kuleta zengwe, inachotakiwa Luca Jovic hata akipewa 10 minutes azitendee haki. Isiwe kama James, kachezeshwa more than half season akashikwa masikio na magazeti ya kwao Colombia akaanza kuleta drama
 
Exactly 21 hours to our first game. I'm excited to see what the season has for us. Real Madrid is never dull. Hala Madrid.
 
Back
Top Bottom