Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Salzburg XI: Ulmer, Stankovic, Ramalho, Minamino, Onguéné, Samassekou, Bernede, Kristensen, Koita, Håland, Szoboszlai

Subs: Junuzovic, Farkas, Carlos, Vallci, Okugawa, Hwang Hee-Chan, Daka, G. Mensah, M. Ashimeru, Köhn, Camara, Van der Werff, Diarra

Real Madrid XI: Courtois, Carvajal, Militão, Ramos, Varane, Kroos, Benzema, Marcelo, Casemiro, Isco, Hazard

Subs: Navas, Nacho, L. Vázquez, Jović, Odriozola, Valverde, Lunin, Vinícius Júnior, Adrián De la Fuente
 
Strong reports saying we're either getting Pogba or Neymar. 2 players I'm not a fan of, mainly due to their antics on and off the pitch. I never wanted Cristiano Ronaldo to come to Real Madrid but he joined, so there's my jinx. Brace yourselves, Madridistas.
 
Ukuta wa chuma Man United
https://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/5226350/highRes/2414552/-/maxw/600/-/o0ee9cz/-/pic+chuma.jpg
 
Real Madrid have given star signing Eden Hazard the No.7 shirt, with the Belgian set to follow in the footsteps of the likes of Raul Gonzalez and Cristiano Ronaldo by donning the number.


That shirt had belonged to Mariano Diaz, who is still at the club, but he will now wear the No.24, despite rumours linking him with a move to Monaco.

Elsewhere, it was interesting to see that James Rodriguez has been awarded the No.16 shirt, having worn the No.10 before going on loan to Bayern Munich.
 
Hujui mpira
Upo sawa kabsaa lakini nakumbuka misimu 3 tuliyobeba Uefa Casemiro alikua ana mchango mkubwa sana kwa timu, na kama unakumbuka vizuri Zidane alikua akifanya rotation kwa wachezaji lakini rotation hiyo ilikua haimuhusu Casemiro, alikua akicheza karibu kila mechi kwa kiwango cha juu kabsaa….

Nakumbuka mechi yetu ya round ya 16 tulicheza na PSG aliupiga mwingi sana, robo tulicheza na B.M alicheza sana na hasa mechi ya nyumbani tuliyozidiwa ubora…

Mechi ya Uefafa tuliyocheza na Juve aliupiga mwingi mno ikiwemo goli la pili la mechi ya fainali

Casemiro ni fundi sana, naamini mechi mfululizo zimemuchosha lakini baada ya muda atakua fit sana hasa ukizingatia sio mtu wa bata sana na ndio kwanza kafikisha 27
 
Barcelona desperately want Neymar, but can't afford him. And PSG don't want to deal with them anyway.

PSG desperately want to get rid of Neymar, but only Real Madrid can afford him.

Real Madrid want Neymar, but only if the deal makes sense on their side. That means PSG take Bale, James or another player off Madrid's books and accept not more than 150 euros.

Long story short, https://jamii.app/JFUserGuide Zidane.
 
Barcelona desperately want Neymar, but can't afford him. And PSG don't want to deal with them anyway.
PSG desperately want to get rid of Neymar, but only Real Madrid can afford him.
Real Madrid want Neymar, but only if the deal makes sense on their side. That means PSG take Bale, James or another player off Madrid's books and accept not more than 150 euros.
Long story short, **** Zidane.
Ngoja tuone hii drama itaishia wapi, kuna sehemu nimeona kuwa PSG wanataka kumtoa kwa mkopo kisha msimu ujao ndio tumnunue rasmi, ila bado ni tetesi tu sababu hata Club haijawasiliana na PSG.
Ila kuna kitu ninajiuliza, Je Zidane anahitaji service yake! ? ama Don Perez anataka kukamilisha ndoto zake' ?
 
Roma XI: Pau Lopez, Florenzi, Fazio, Juan Jesus, Kolarov, Pellegrini, Cristante, Cengiz, Zaniolo, Perotti; Dzeko.

Subs: TBC

Real Madrid XI: Courtois, Calvajal, Militao, Varane, Nacho, Hazard, Benzema, Modric, Marcelo, Casemiro, Valverde.

Subs: Navas, Fuidias, Odriozola, Kroos, Isco, Bale, Lucas Vázquez, Jovic, Vinicius Jr.
 
Zidane kwa mfumo wake huu naona atakuwa na maisha mafupi ndani ya madrid ..huwezi tupangia upumbavu namna ile ..afu shida nyingine ni benzema anafanya masihara naye ngoja tumuone mwisho wake
 
Zidane formation of 3-5-2 makes Real Madrid weak defensive, as our midfielders can't handle pressure the results will be conceding more than 4 goals in every game. Time to fire Zidane already.
Zidane hawezi kuisuka team, hii team inahitaj kufanyia structure upya..vasquez, nacho and benzema both should be sold or loaned

Zidane alikuta team imeundwa kutoka kwa mourinho na ancelotti ndo mana ikawa rahis kwake kupata yale mafanikio, bt this time anatakiwa ye ndo atengeneze team ktu ambacho zidane hawez..Hata don perez nahis kashamstukia ndo mana anamuwekea ngum kuwauza bale na james
 
I love Marcelo but this is a time to excuse us, anaacha bonge la gape pale nyuma, Nacho is very slow, I don't know why is he still there till today? Huyu Odriazola hawezi kucheza aerial dual kabisa na akikutana na wachezaji wasiojua fair play kama Diego Costa au Suarez sijui kama ataweza kuwadhbiiti. Kwa kifupi hii sio defence ya kuitegemea kucheza game mbili kwa wiki. Kuna watu humu hawajui mpira watakwambia tatizo Ronaldo hayupo.
 
Back
Top Bottom