Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Madrid hawajifunzi. Sajili nyingiza gharama zinawatumbukia nyongo.

Wakuze vijana wao. Pogba na wengine watamaliza benki tu ila matokeo hayatakuwepo
 
Kiungo chenu ni tatizo

Casemiro naaminigi ni ana jina kubwa kuliko uwezo wake, Modric inafaa atokee benchi

Midfield ingekuwa Kroos, Valverde na Ceballos tatizo mmeuza watu wazuri kama Llorente na Ceballos
 
Tumefungwa game ya pre season tu ila maneno yamekuwa mengi sana, kwa upande wangu bado nina IMANI kubwa sana na hii timu, ni Vizur vitu vinatokea pre season kuliko kutokea ligi imeshapamba moto, Atletico walicheza vyema sana, utadhan ilikuwa sio game ya kirafiki, walifanya jambo jema sana kuwakumbusha vijana wetu wanachotakiwa kufanya, somo lilieleweka na litafanyiwa kazi, ninasubir game zote za kirafiki ziishe ndio nitaweza kutathimini uwezo wetu kuelekea kwenye msimu mpya. Ngoja tuone game dhidi ya spurs itakuwa vipi.
 
IMG_5269.JPG

James is back..sijui kama ataenda kwa mkopo
 
I am happy to see James is back I wish him stay. Jamaa anajua na ni mfungaji mzuri pia, zidane amtumie Huyu jamaa,
Ingependeza sana kama Zizou atamtumia, kwa jinsi mambo yalivyo sasa na majeruhi ya Asensio, James anaweza kutusaidia sana, itakuwa ajabu sana kumtegemea Lucas Vasquez na Brahim Diaz badala yake, ana offer vitu vingi kuliko hao wawili, anaweza kucheza nyuma ya foward kama AM na wing ya kulia, Ngoja tuone maamuzi ya club na bench la ufundi wataamua kitu gani .
 
According to AS
Real Madrid tell James he's staying
Real Madrid have informed James Rodríguez that he will not be transferred and will remain at the club for next season.
 
This is a good news to me. Wish him all the best.
Kabisa man, Kama Zizou akiamua kumtumia atatusaidia sana, tangia aondoke tumekosa creativity na zile penetration pass kwenye eneo la ushambulizi, Isco amekuwa akipewa nafasi lakini ajabu hatengenezi nafasi wala sio mkabaji mzuri, so James kuingia kwenye team itatutoa kwenye ule mfumo wa kutumia mabeki kupiga cross kila mara badala yake tutapata option nyingine ya kutengeneza nafasi kupitia kati Kati hapo ndio tutaona uwezo wa Luka Jovic .
Kwasasa tusubiri club ifanye huo usajili wa Pogba kwanza ili tuwe na competition nzuri na freshness ndani ya mid yetu, ninaamini tutakuwa na msimu mzuri sana! ! #HalaMadrid
 
Kwangu wa kuuzwa ni karimu sioni cha maana anachofanya kama sio kurukaruka ka ajibu
Karim atauzwa ila ninadhan ni mpaka msimu ujao, tayari kuna Jovic ameletwa kwa ajili either ya kucheza pamoja ama kushindana nae, club inachofanya inasubir impate Mbappe kwa bei nafuu, msimu ujao inawezekana sababu atakuwa amebakiza miaka 2 kwenye mkataba wake na PSG, kwahiyo tuwe tu wavumilivu! !
 
Team yangu hii ila sasa hivi inaniskitisha sana

Mwaka juzi harusi yangu ilidondokea siku ya fainali


Ahahaha ikabidi nitoroke ukumbini , any way nliwaambia hakuna namna siwezi miss game ya madrid kisa papuchi



All in all sasa hivi inanisikitisha sana hadi naumwa kipigo cha saba cha juzi mpaka leo siongei na mtu ofisini
 
Back
Top Bottom