Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,039
- 11,614
Mkuu fafanua vizuri hii kauli yakoSamahan mkuu..kila mtu anataka timu yake ifanye vizur! Unapotoa ushaur, usibomoe upande wowote ule!
Mkuu fafanua vizuri hii kauli yakoSamahan mkuu..kila mtu anataka timu yake ifanye vizur! Unapotoa ushaur, usibomoe upande wowote ule!
Chukulia madrid wanamtaka VVD, Becker na Mane na wapo seriusMkuu fafanua vizuri hii kauli yako
Bad thing is madrid they selling and loans good players while stayin with flopsWhat's good for Zenedine Zidane! Selling Marco Llorente for cheap price and sending Reguilon away while Nacho is still here.
Naunga mkono hoja...unajua binafsi bado ninasema Nacho ni mchezaji ambaye hana hadhi yakucheza madrid...ni mchezaji wa kawaida sanaa....hili nimeshasema sana...Bad thing is madrid they selling and loans good players while stayin with flops
haingii akilin unamuuza m.Llorente ambae ndo backup ya casemiro then unambakiza nacho ambae hta sevilla hana nafasi
Im feel sorry for Zidane, bora asingerudi anaenda kuaribu Cv yake..Na hiz personalities zake ndo ztamharibia kabsa, hawatak bale na james lakin anawakumbatia benzema na vasques
Kwa io unataka kutuambia kubeba Uefa Mara tatu mfululizo ni kitonga? Au klopp akipewa madirid itakuwa bora zaidi kuliko ile ya Ronaldo and co..Karibuni mutajua kuwa Zidane alikuta Kitonga cha Ronaldo na kina Marcelo and co wakiwa kwenye peak zao lakini Hanna kitu
View attachment 1164366
acha bana Numby, tumuamini kocha wetu ..Hazard yupo ataeka mambo sawa.Timu bado ina wazee jamani sio kwa netball hii
Kwani Paul ana msaada gani pale OT?Samahan mkuu..kila mtu anataka timu yake ifanye vizur! Unapotoa ushaur, usibomoe upande wowote ule!
Mmmmh...I trust this pre-season than that of Lopetegui. I don't mean that Lopetegui isn't a good Entrernador! No.But Zizou is about to make unforgotable history again. Aigain with this club
Naunga mkono hoja...unajua binafsi bado ninasema Nacho ni mchezaji ambaye hana hadhi yakucheza madrid...ni mchezaji wa kawaida sanaa....hili nimeshasema sana...
Pili...bado hatujasolve matatizo yetu sugu...beki za kati hatuna na bado tunaendekeza benzema ambaye ili afunge goli moja anahitaji nafasi 10 za wazi...hapo hatutatoboa...na hata sijui msimu huu utakuwaje...unakuwa na beki wazito balaa..afu unakuwa na namba tisa butu...