Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Jamaa hajui NAPOLI, AJAX, ROMA na SPUS wanasajili kutokana na uwezo wao.. huwezi ukamtaka MBAPPE mfukoni huna kitu.
Halafu timu kuspend tu haitoshi kukupa vikombe... Mfano ni PSG mbona wanatumia pesa ndefu bado wanakuna kichwa.. Twende pale MAN U baada ya Ferguson kutoka mbona ela imetumika kubwa bado hakuna kitu.
Hapana mkuu hii perception ni mbaya sana.... Biashara haziendeshwi hivi. Unaweza hata ukachukua mkopo ukasajili mchezaji unayetaka sio necessarily mpaka uwe na hizo pesa benki hata C. Ronaldo madrid mlimnunua kwa pesa mliokopa ndio maana hata leo Real Madrid ni moja ya timu zenye madeni makubwa by mwisho wa msimu uliopita kutokana na gharama za usajili n.k

Hao Napoli na Ajax revenues za mauzo ya wachezaji huwa zinakuwa reinvested kwenye maeneo mengine ila haimaanishi eti hazina pesa za kusajili.... Spending big kwenye dirisha haimaanishi unapesa nyingi kuliko wengine bali ni vipaumbele.

Hivi ni timu gani ilikuwa na negative debt balance zaidi ya Arsenal..... Ila uliwahi ona inasajili kwa kumwaga €200 Million kwenye dirisha moja??

Tusichanganye UWEZO wa kifedha na MAAMUZI ya kusajili..... Ni vitu viwili tofauti ambavyo havina mahusiano kabisa maana vinategemea sera ya klabu inatakaje.
 
Mkuu timu inayocheza knockout competition inatoka wapi.?.. sio kwenye ligi?
Hii unayoita knockout haianzii makundi.? Na mpaka wanafika final ni bahati tu sio uwezo?..
Uambiwe utaje timu bora ulaya utaitaja Sociedad na Ajax ukaiacha Real au Barca kisa kafungwa na Betis.?
Kumbe hata Uefa 3 mfulululizo kwako sio kitu ni bahati tu na sio bora.
UEFA ni knockout vipi World cup.? wanaocheza hawajui ni mtoano hadi mtu akibeba anaonekana hakuwa bora.?
Real sio bora sawa,.. Bora ni nani hata ndani ya 10 Years tu.?
Mie sio mshabiki wa Barca ila personally ndio timu bora ulaya kwa hii decade ikifuatiwa na Napoli na Dortmund,Atletico,Spurs maana zinaoperate kwenye bajeti finyu ila zimeendelea kuleta ushindani kwa miaka mingi hivyo nazipa Heko.

Nachosema ni kweli Real kuchukua uefa mara 3 ni milestone ila msiikuze sana eti ndio timu bora duniani kisa hizo hat-trick..... Nikajenga hoja kwamba licha ya kutumia pesa nyingi na kumtegemea ronaldo kuwabeba ila bado knockout competition sio kipimo cha timu bora maana timu inaweza kukutana na dhaifu mpaka fainali tofauti na ligi ambapo lazima ukutane na mabingwa wenzio ili utambue nani mfalme wa wenzie.

Mfano juve ingemfunga Ajax ingemtkuta spurs hizo zote ni average team na ingeshaingia final.... Ila kwenye ligi hakuna hizo janja lazma ukutane na wababe wenzio.

Kumbuka Atletico walikua hawaingii Top 2 la liga lakini walifika fainali ya UEFA mara 2 sababu ya strategy ya kufunga 1 wanarudi kupaki basi...... Sasa hyo janja la liga hamna maana ni lazima wamfunge barca na real ili wabebe ndoo.

I hope mnaelewa hoja yangu
 
Madrid kachukua hizo uefa kakutana giants juv,PSG,Munich,na wakati huo hakuwa na usajili wa maana,unavyo sema Madrid mbovu kwa kigezo cha kutochukua la liga na kusema anabahatisha tu,bro uefa inakutanisha top class clubs za ulaya,hapo kubahatisha inakuwaje,swala la bajeti ni mikakati ya Tim husika,angalia arsenal anavyo struggle na bajeti ndogo huku mashabiki tunaumia,
Mie sio mshabiki wa Barca ila personally ndio timu bora ulaya kwa hii decade ikifuatiwa na Napoli na Dortmund,Atletico,Spurs maana zinaoperate kwenye bajeti finyu ila zimeendelea kuleta ushindani kwa miaka mingi hivyo nazipa Heko.

Nachosema ni kweli Real kuchukua uefa mara 3 ni milestone ila msiikuze sana eti ndio timu bora duniani kisa hizo hat-trick..... Nikajenga hoja kwamba licha ya kutumia pesa nyingi na kumtegemea ronaldo kuwabeba ila bado knockout competition sio kipimo cha timu bora maana timu inaweza kukutana na dhaifu mpaka fainali tofauti na ligi ambapo lazima ukutane na mabingwa wenzio ili utambue nani mfalme wa wenzie.

Mfano juve ingemfunga Ajax ingemtkuta spurs hizo zote ni average team na ingeshaingia final.... Ila kwenye ligi hakuna hizo janja lazma ukutane na wababe wenzio.

Kumbuka Atletico walikua hawaingii Top 2 la liga lakini walifika fainali ya UEFA mara 2 sababu ya strategy ya kufunga 1 wanarudi kupaki basi...... Sasa hyo janja la liga hamna maana ni lazima wamfunge barca na real ili wabebe ndoo.

I hope mnaelewa hoja yangu
 
1559362100350.jpg
Case closed
 
Atleast fans tuwe na respect kwa wachezaji wanaoisaidia timu. Hujui makubaliano ya Ramos na club sio kuropoka ropoka tu

Neymar mlibeg sana ikashindikana now hazard club imempigania kwa nguvu zote mpaka kumpata
And Sergio Ramos does a U-turn and announce to stay. Gotta love how the club gave no deal whether he left or stay. We are Real Madrid, we don't beg no one to wear the shirt.
 
Atleast fans tuwe na respect kwa wachezaji wanaoisaidia timu. Hujui makubaliano ya Ramos na club sio kuropoka ropoka tu

Neymar mlibeg sana ikashindikana now hazard club imempigania kwa nguvu zote mpaka kumpata

Uwe unaomba ueleweshwe kwanza kabla ya kujitia ujuaji. Na taarifa za vijiweni jaribu kwa wengine.
 
Former Real Madrid's player, Jose Antonio Reyes has passed on. Will always remember his 2 goals against Real Mallorca in the final game of La Liga 2006 / 07 season. The most thrilling league we ever won imo. Rest in peace.
 
Dah...naikumbuka hii mechi aisee...nakumbuka akiwa kwenye kibendera akishangalia na wachezaji wengine...R I P
 
Castilla choke on the promotion, Baloncesto off to La Liga semis' playoffs. If Baloncesto fail to retain the league, it will have been a total shitty season at the club. Hasta el final, Hala Madrid.
 
Back
Top Bottom