zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,039
- 28,687
Hapana mkuu hii perception ni mbaya sana.... Biashara haziendeshwi hivi. Unaweza hata ukachukua mkopo ukasajili mchezaji unayetaka sio necessarily mpaka uwe na hizo pesa benki hata C. Ronaldo madrid mlimnunua kwa pesa mliokopa ndio maana hata leo Real Madrid ni moja ya timu zenye madeni makubwa by mwisho wa msimu uliopita kutokana na gharama za usajili n.kJamaa hajui NAPOLI, AJAX, ROMA na SPUS wanasajili kutokana na uwezo wao.. huwezi ukamtaka MBAPPE mfukoni huna kitu.
Halafu timu kuspend tu haitoshi kukupa vikombe... Mfano ni PSG mbona wanatumia pesa ndefu bado wanakuna kichwa.. Twende pale MAN U baada ya Ferguson kutoka mbona ela imetumika kubwa bado hakuna kitu.
Hao Napoli na Ajax revenues za mauzo ya wachezaji huwa zinakuwa reinvested kwenye maeneo mengine ila haimaanishi eti hazina pesa za kusajili.... Spending big kwenye dirisha haimaanishi unapesa nyingi kuliko wengine bali ni vipaumbele.
Hivi ni timu gani ilikuwa na negative debt balance zaidi ya Arsenal..... Ila uliwahi ona inasajili kwa kumwaga €200 Million kwenye dirisha moja??
Tusichanganye UWEZO wa kifedha na MAAMUZI ya kusajili..... Ni vitu viwili tofauti ambavyo havina mahusiano kabisa maana vinategemea sera ya klabu inatakaje.