Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Eden Hazard, Luka Jovic, Militao, Rodrygo, Mendy, + 2 or so midfielders will be joining Real Madrid for the next season. That's almost 500m worth of investment. We'll recoup a lot of that in sales too, not to forget the money we received from Cristiano's sale. Florentino Perez knows his shit.
 
Inafurahisha kuona Real Madrid wamerudi kwenye market, maana miaka sasa hatujaona hii kitu. Hii ni new projet, inasikitisha kuona baadhi ya wachezaji wanaondoka kwa vile tumewazoea lakini ni muhimu hiki kikosi kubadilika.
 
Inafurahisha kuona Real Madrid wamerudi kwenye market, maana miaka sasa hatujaona hii kitu. Hii ni new projet, inasikitisha kuona baadhi ya wachezaji wanaondoka kwa vile tumewazoea lakini ni muhimu hiki kikosi kubadilika.

Kama bale na benzema tunawashukuru kwa yote ni wakati wa kutupisha
 
Kama bale na benzema tunawashukuru kwa yote ni wakati wa kutupisha


Bale anaondoka, lakini Benzema anabaki. And mark my words, hata aje striker gani, yeye atabaki kuwa regular stater. Now Zizou is building forward line around him.
 
Starting XI: Navas; Carvajal, Varane, Nacho, Marcelo; Valverde, Llorente, Modric; Brahim, Benzema, Vinicius
Subs: Courtois, Kroos, Bale, Vazquez, Asensio, Isco, Reguilon
 
real_madrid_squad_31.08.2018.jpg
 
Betis holding on. 10 minutes down we can't keep the possession even 5 passes.
 
Real Madrid absorbed the pressure well and now gaining momentum.

35'
Real Madrid 0-0 Real Betis
 
Second goal for Betis from former Real Madrid player Jesé

75'
Real Madrid 0 - 2 Real Betis
 
Real Madrid ita_struggle sana kama Manchester united kwa zaidi ya miaka 10 ijayo bila kikombe chochote hata wakimsajili Mbape.

Zidane hana jipya na BETIS wanaijulia sana madrid
 
Ni afadhali kuwa shabiki wa Valencia kuliko huu upuuzi No Ronado No R. Madrid yenye mafanikio
 
FULL TIME | Real Madrid 0-2 Betis

A season to learn from and hopefully come back stronger.

¡Hala Madrid y Nada Más!
 
Real betis wamecheza vizuri and wana deserve point zote tatu ,pia real betis walikuwa na msimu mzuri maana top four yote hakuna aliyepona wakiwa away

Good new ni msimu umeisha tujipange kwa msimu ujao ,tutarudi strong next season
 
Back
Top Bottom