pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,023
- 3,211
This is what ninachosema...sasa hivi kule mbele hatuna watu ambao wanaweza kuwa na accuracy rate nzuri...huwezi kuwa na foward line ambayo hata kulenga goli haiwez kisha ukajisifu kuwa una foward line nzuri..tunahitaji mabadiliko makubwa mbele..Real madrid ni club kubwa na tunahitaji kuogopwa kila tunapokanyaga pitch ziwe za mpinzani au za kwetu..What a mediocre team we became, 80 minutes of play against Rayo, 0 shoot on target. Never happened before.