Wanachokikosa madrid kwa sasa ni hiki. Hope ataibuka "mviziaji"mwingine mahiriView attachment 1083828
Juventus wao je wanakikosa nini? mana kocha anakula majungu mazito huko baada ya kukosa makombe ya Champion league na Coppa Italia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanachokikosa madrid kwa sasa ni hiki. Hope ataibuka "mviziaji"mwingine mahiriView attachment 1083828
Zidane kashafeli apo ..wachezaji washazoeana ..Hope msimu ujao timu itasukwa vizuri.
This is what ninachosema...sasa hivi kule mbele hatuna watu ambao wanaweza kuwa na accuracy rate nzuri...huwezi kuwa na foward line ambayo hata kulenga goli haiwez kisha ukajisifu kuwa una foward line nzuri..tunahitaji mabadiliko makubwa mbele..Real madrid ni club kubwa na tunahitaji kuogopwa kila tunapokanyaga pitch ziwe za mpinzani au za kwetu..What a mediocre team we became, 80 minutes of play against Rayo, 0 shoot on target. Never happened before.
Nimeona hii habari ya capitan wetu ,kweli inatuumiza madridistaAnimo Iker Casillas. Forever Capitan.
Eden anakuja, Pogba anakuja.Huyu MTU anaitwa salamander humu ndani nataka nimwambie kuwa kama star wangu eden hazard akija Madrid basi Mimi nitaongeza ushabiki wa team kuwa mbili yaani Chelsea na real Madrid
MNA hela lakini sio mnaongea tuEden anakuja, Pogba anakuja.
Get well soon Iker
Ela ipo mkuu.. real tenaMNA hela lakini sio mnaongea tu
Halla Madrid afadhari Barcelona wametoka majinga yalitaka yachukue ubingwa Santiago
Hahahahahahahahah ingekuwa ni fedheha kubwaHalla Madrid afadhari Barcelona wametoka majinga yalitaka yachukue ubingwa Santiago
Fainali uwanja wa Atletico Madrid mkuuHalla Madrid afadhari Barcelona wametoka majinga yalitaka yachukue ubingwa Santiago