Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Bustani za maua, na gwaride la wanajeshi 3000 ndiyo baadhi ya mambo watakayo karibishwa nayo mashabiki wa Liverpool na Real Madrid wakati timu hizo mbili kubwa zitakapokutana katika fainali za ligi ya Ubingwa katika uwanja wa Olympic Stadium mnamo Mei 26.
Uwanja huo - umejizolea umaarufu kwa kuwa mwenyeji wa baadhiya mechi za soka katika mashindano ya Olimpiki Moscow mnamo 1980 .
Una takriban viti 70,050 licha ya kwamba kiwango cha mashabiki watakaoruhusiwa katika fainali hiyo ni 63,000.

Vilabu vyote vimepewa takriban tiketi 16 500 kwa hivyo jumla ya mashabiki 33,000 wa Liverpool na wa Real Madrid wanatarajiwa kusafiri kuelekea katika mji mkuu huo wa Ukraine - na pia mashabiki wa Wolfsburg na Lyon kwa fainali ya ligi hiyo kwa wanawake siku mbili kabla ya hapo itakayochezwa katika uwanja mdogo wa Dynamo.
Meya wa mji wa Kiev Vitali Klitschko - bingwa mara tatu uzani mzito wa masumbwi amesema anatarajia hadi watalii 100,000 mwishoni mwa juma.

Kwa kipindi cha fainali hiyo, kando na vikosi vya polisi mjini Kiev na maeneo mengine, wanajeshi 3000 watasaidia katika kuhakikisha utulivu," amesema naibu waziri wa mambo ya ndani Serhiy Yarovyi.

Usafiri na malazi je?
Uwanja wa ndege mjini humo Borispol unatarajia ndege 100 za ziada mwishoni mwa juma.
Utafunga mojawapo wa njia kuu za uwanja huo ili kukabiliana ongezeko hilo, na kuruhusu njia nyingine kutumika kama maeneo ya ndege kusubiri.
Katika baadhi ya ndege ni marufuku kubeba mizigo ili kuharakisha kushuka kwa abiria.
Bei za kukodisha hoteli pia zinatarajiwa kupanda.
Mpaka sasa takwimu zinaonyesha 98% ya malazi katika hoteli yamekodishwa.

Eneo kuu la kivutio linalojulikana kama 'kijiji cha mabingwa', lipo katika mtaa wa kati kati wa Khreshchatyk. Kutakuwa na mechi ndogo ya watu mashuhuri kati ya marafaiki wa meya Klitschko na mshambuliaji bingwa wa Ukrain Andriy Shevchenko.

Kila kijiji cha mji huo kinapanga kuwa na mpangilio wa maua na michoro na sanaa za aina nyingine, na Kibofu kikubwa kilicho mfano wa taji kuu la ligi hiyo ya ubingwa.
Ukarabati mkubwa umefanywa wa uwanja huo, ikiwa ni pamoja na kuwekwa kamera za CCTV vipaza sauti na taa pamoja na kutengwa sehemu maalum ya waandishi habari.
 
Mwanamuziki gani ataperfom mkuu. Can't wait for the game hizi kelele ziishe. Tunaanza kufunga mabakuli ya Messilona kesho.
 
A UK star singer Dua Lipa has been booked to perform at the Olympiyskyi Arena in Kyiv before the start of the UEFA Champions League final May 26.
Mwanamuziki gani ataperfom mkuu. Can't wait for the game hizi kelele ziishe. Tunaanza kufunga mabakuli ya Messilona kesho.
 
All you need to know about the Champions League final

Who is in the final?

The biggest game in club football will this season be contested by holders Real Madrid and five-time winners Liverpool. Madrid booked their place with a nervy 4-3 aggregate victory against Bayern on Tuesday, with Liverpool squeezing past Roma on Wednesday.

When does it take place?

The match will be held on Saturday 26 May, kicking off at 20:45CET (21:45 local time). This is the ninth successive season that the final has taken place at the weekend.

Where is it being played?
NSC Olimpiyskiy Stadium in Kyiv – the capital of Ukraine – will stage the fixture. The venue was renovated ahead of UEFA EURO 2012 and played host to the final, in which Spain beat Italy 4-0 to retain the trophy. The stadium has a net capacity of 63,000.

Can I still get tickets?

Some 6,700 tickets were made available to the public via UEFA.com last month, with the application window open from 15–22 March. The two finalist teams will each receive 17,000 tickets.

The annual UEFA Champions Festival will run from Thursday 24 until Sunday 27 May in Kyiv city centre.

The festival is free to attend and will be THE place for entertainment in the days around the final – including the UEFA Ultimate Champions Tournament featuring a host of UEFA Champions League greats; plus freestylers, autograph signing sessions, bands, DJs and the chance to have your photo taken with the trophy.

What else is going on?

The UEFA Women's Champions League final between Wolfsburg and Lyon will also take place in Kyiv, at Valeriy Lobanovskiy Dynamo Stadium on 24 May from 18:00CET (19:00 local time).

Former Ukraine striker and current national team coach Andriy Shevchenko. "I feel proud that we have the opportunity to organise such an event," said Shevchenko, a UEFA Champions League winner with Milan in 2003. "We look forward to meeting all the fans who want to visit our country and our beautiful city of Kyiv."

Who are the 'home' team?

Real Madrid are the nominal home team as a result of a draw made for administrative purposes following last month's semi-final draw.
 
Beast Mode Activated. Hajawahi Poteza Game Yoyote Ya El Classico akiwa captain.
Screenshot_2018-05-05-03-40-32.jpg
 
Leo ajiandae Kupokea Thunder Storm Kutoka Kwa Barcelona Manake Munapigwa Misumari Kama Minne Hivi Huku Emperor Messi Akitumbukiza Zake Mbili Kama Kawa

We kaa usubiri aibu yako tu. Hii ni mechi ya wanaume, kinamama nani kawapa ruhusa ya kuchangia .
 
Bustani za maua, na gwaride la wanajeshi 3000 ndiyo baadhi ya mambo watakayo karibishwa nayo mashabiki wa Liverpool na Real Madrid wakati timu hizo mbili kubwa zitakapokutana katika fainali za ligi ya Ubingwa katika uwanja wa Olympic Stadium mnamo Mei 26.
Uwanja huo - umejizolea umaarufu kwa kuwa mwenyeji wa baadhiya mechi za soka katika mashindano ya Olimpiki Moscow mnamo 1980 .
Una takriban viti 70,050 licha ya kwamba kiwango cha mashabiki watakaoruhusiwa katika fainali hiyo ni 63,000.

Vilabu vyote vimepewa takriban tiketi 16 500 kwa hivyo jumla ya mashabiki 33,000 wa Liverpool na wa Real Madrid wanatarajiwa kusafiri kuelekea katika mji mkuu huo wa Ukraine - na pia mashabiki wa Wolfsburg na Lyon kwa fainali ya ligi hiyo kwa wanawake siku mbili kabla ya hapo itakayochezwa katika uwanja mdogo wa Dynamo.
Meya wa mji wa Kiev Vitali Klitschko - bingwa mara tatu uzani mzito wa masumbwi amesema anatarajia hadi watalii 100,000 mwishoni mwa juma.

Kwa kipindi cha fainali hiyo, kando na vikosi vya polisi mjini Kiev na maeneo mengine, wanajeshi 3000 watasaidia katika kuhakikisha utulivu," amesema naibu waziri wa mambo ya ndani Serhiy Yarovyi.

Usafiri na malazi je?
Uwanja wa ndege mjini humo Borispol unatarajia ndege 100 za ziada mwishoni mwa juma.
Utafunga mojawapo wa njia kuu za uwanja huo ili kukabiliana ongezeko hilo, na kuruhusu njia nyingine kutumika kama maeneo ya ndege kusubiri.
Katika baadhi ya ndege ni marufuku kubeba mizigo ili kuharakisha kushuka kwa abiria.
Bei za kukodisha hoteli pia zinatarajiwa kupanda.
Mpaka sasa takwimu zinaonyesha 98% ya malazi katika hoteli yamekodishwa.

Eneo kuu la kivutio linalojulikana kama 'kijiji cha mabingwa', lipo katika mtaa wa kati kati wa Khreshchatyk. Kutakuwa na mechi ndogo ya watu mashuhuri kati ya marafaiki wa meya Klitschko na mshambuliaji bingwa wa Ukrain Andriy Shevchenko.

Kila kijiji cha mji huo kinapanga kuwa na mpangilio wa maua na michoro na sanaa za aina nyingine, na Kibofu kikubwa kilicho mfano wa taji kuu la ligi hiyo ya ubingwa.
Ukarabati mkubwa umefanywa wa uwanja huo, ikiwa ni pamoja na kuwekwa kamera za CCTV vipaza sauti na taa pamoja na kutengwa sehemu maalum ya waandishi habari.
Haya mambo ya shamra shamra real madrid washazoeaga hakuna jipya, hapo ni kwamba liverpool wanakaribishwa kushiriki final after a long while.
 
Leo ajiandae Kupokea Thunder Storm Kutoka Kwa Barcelona Manake Munapigwa Misumari Kama Minne Hivi Huku Emperor Messi Akitumbukiza Zake Mbili Kama Kawa
Sasa wewe na el clasico wapi na wapi au ndo yale mambo ya kudandia basi kwa mbele? Wewe tusubiri huko huko UEFA, hatukutaki huku.
 
Mimi Ni Mshabiki Wa Mpira Kumbuka Hilo!!

Wakati Palipokuwa na Ushindani Nilikuwa Bayern Mu vs Bayern Lev nilikuwa Nikiangalia.

Juventus vs Inter , Juventus vs Ac Mil, Inter vs Ac Mil Zote Hizi Nilikuwa Nikiangalia.
Lakini Kwa Sasa Hizo Mechi Zimepoteza Hadhi Yake na Hazina Ushindani Wowote Nimeachana Nazo.

Sasahivi nimebakisha El Clasico tu Kwa Timu za Nje Ya EPL ndiyo Baadhi Ya Mechi Huwa Ninatizama na Sio El Clasico Zote.

Hii Ya Marahii Nitaitizama Kwasababu Pana mvuto Fulani Wa Events 2 Hivi muhimu sana.

1) Je Real hawatawapa Kweli Barcelona "Guard Of Honor" ?

2) Je Real Wataweza Kuizuia Invincible Ya Barcelona?
 
Real Madrid WON'T GIVE Barcelona GUARD OF HONOR, says Zidane.

"After the Club World Cup they didn't want to do it for us. They might have said they didn't do it because they weren't in the competition, but that's not true. You've got to win the Champions League to play in it and we're both in the Champions League.

"It's not up to me to decide about the guard of honour but they didn't do it. We, with respect, won't do it for them because they didn't.

"We respect what Barca have done in winning the league, which for me is the most difficult and nicest thing you can do. But these things happen; if they'd have given us one, we weren't going to break the tradition of doing so."
 
UNAMKUMBUKA yule mwamuzi wa Italia mwenye upara, Pierluigi Collina? Sasa ameachana na filimbi na ndiye amekuwa bosi wa waamuzi wa Uefa. Na yeye ndiye ambaye atampanga mwamuzi wa pambano la fainali kati ya Liverpool na Real Madrid pale Kiev.

Collina ndiye Mkuu wa Kamati ya Waamuzi ya Uefa na amekuwa akichunguza kila mechi kupitia kwa watu wake wa karibu na tayari anajua kwamba kumekuwa na utata mwingi katika mechi za Ligi ya mabingwa hivi karibuni.

Tayari homa ya pambano hilo litakalopigwa Mei 26 imezidi kupanda kutokana na timu zitakazocheza fainali hizo kuwa na mvuto mkubwa kwa mashabiki wa soka katika pande nyingi za dunia.

Waamuzi wenye viwango vya juu katika uchezeshaji wanatazamiwa kupitishwa katika mizani ya Collina lakini kwa mujibu wa kanuni mechi hiyo haitachezeshwa na waamuzi kutoka Hispania au England ambazo zimetoa timu zitakazocheza fainali hiyo. Mara nyingi kamati hiyo ya Collina huwa inachagua waamuzi wenye uzoefu zaidi na ambao wamefaya makosa machache zaidi katika msimu huu huku wengi kati yao wakitazamiwa kuwepo katika michuano ya kombe la dunia nchini Russia.

Waamuzi ambao wanatajwa kuwa katika orodha fupi ya kuweza kuchezesha pamoja hilo ni pamoja na Bjorn Kuipers wa Uholanzi, Damir Skomina wa Slovenia, Felix Brych wa Ujerumani, Jonas Eriksson wa Sweden, Clement Turpin wa Ufaransa na Cüneyt Çakir wa Uturuki. Hata hivyo, Cakir alisababisha utata katika pambano la Real Madrid dhidi ya Bayern Munich ambapo anashutumiwa kwa kutoipa penalti Bayern Munich wakati mlinzi wa Madrid, Marcelo alipoonekana kuunawa mpira katika eneo la hatari.

Waamuzi wengi wamekidhi vigezo lakini Collina, ambaye ni mwamuzi maarufu wa zamani kutoka Italia ndiye ambaye atakuwa na kauli ya mwisho kuhusu nani achezeshe pambano hilo linalosubiriwa kwa hamu.

Hata hivyo, nchini Italia Collina amelaumiwa na Rais wa klabu ya Juventus, Andrea Agnelli kwa kushindwa kuruhusu matumizi ya teknolojia katika michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya huku akimlaumu pia mwamuzi huyo kwa kuzikandamiza klabu za Italia katika michuano ya Ulaya.

Inabidi tuwe wapole na kupima suala hili. Nimeona kuna nchi nyingi zinatumia VAR na nimeona kuna matukio ambayo yanakwenda dhidi ya timu za Italia hivi karibuni. Rafu dhidi ya Cuadrado, Milan dhidi ya Arsenal, na Juventus dhidi ya Real Madrid.

Inathibitisha kwamba tunahitaji VAR katika mechi za Ligi ya mabingwa.” Alisema Agnelli.
 
Back
Top Bottom