Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,538
- 15,739
- Thread starter
- #32,421
Road to the 13th
Ramos akili zake huwa anazijua mwenyew man, mara chache kumkuta beki maeneo yale, kama hakuna corner ama freekick, ila jamaa ameenda kutupia utadhani centre foward.Sergio Ramos is defending on one end and scoring overhead kick goal on other end.
Isco na Modric Leo kidogo jicho la goli wamelisahau home , haswa Isco , refa kapeta sasa sijui alitaka amtie na kipa chenga ama nin, tulitakiwa tuwapige hawa wajmaa sio chini ya goli 4.
Nafikiri ata mm guti natamani apewe castilla ili tumuandae kuja kuwa zidane mpyaSasa hayo ni zaidi ya majanga, hicho kipigo sio cha hapa, kocha anaweza kuresign kw kweli.
Huwa ninapenda kufuatilia sana game za hawa madogo , soon Guti atakabidhiwa mikoba ya kuionoa castilla kama Solari hatafanya vyema msimu huu.
Captain ameona forward hazifungi, akaamua ngoja awafundishe kufunga!!!!
Hapa ndio huwa nawakubali hawajamaa kuwa ni professional pamoja na ugum wote hajapndoa uso kwenye mpira