Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
40,470
2,000
Zizou aachane na hao masuperstar wake
Awapige benchi
Inakuwaje tunafungwa na timu ambayo usajili wake wa timu nzima ni usajili wa mcheza 1 tu wa real
 

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
4,009
2,000
Yaan madrid inaitaji msasa mpya wachezaji wamerizika mataji , zidane naye mbinu ake ya krosi ni uboya pia , kingine timu iuze watu na watu walizoee benchi mfn ronaldo benzema tupa benchi ,kuna number 9 nzuri tuu makinda leta mbwaaa hawa.
 

Salamander

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
28,543
2,000
And a good day turns into a bad one. We were looking down at Girona and they show us football. I still don't know why Marcelo went to the bench!!!
 

Salamander

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
28,543
2,000
Not spending big money on a dedicated striker is surely going to cost us this season. I'm not happy with Ronaldo and Benzema duo, we have lost the trust and the willingness to snatch the glory which we had last season
1f494.png
 

wooden flag

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
959
1,000
It's been just 10 league games and we are already trailing by 8 points. But I'll never confuse a single defeat with a final defeat. And just because we're losing, doesn't mean we're lost.

[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Shukuruni Mungu msimu uliopita L enrike aliwapa vikombe viwili kwa maamuzi yake ya kindezi.

Na niliwaambia humu,gape la point litakuwa hilihili ,linapungua kidogo ,linaongeza
 

bullar

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
6,645
2,000
sija ona sababu ya kuanza kumlaumu Zizu hii ni football kila kitu kina weza tokea
 

Belo

JF-Expert Member
Jun 11, 2007
12,692
2,000
Morata alitusaidia sana Siku mbaya mbaya kama hizi hata James naye hakupaswa kuondoka nyakati hizi.
Kuwauza sio issue kutosajili replacement ya wachezaji ambao walifunga magoli 30 msimu uliopita ni kosa kubwa alilofanya Zidane kipindi ambacho CR7 hayuko kwenye form Morata na James walikuwa wanaisadia sana timu
 

Cesar Caspar

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
1,805
2,000
Vp Wakuu, overall performance ya team ilikuwaje? Ni kwamba hao Girona walituzidi kiasi hicho ama ni vijana wetu tu walikosa umakini!
Japokuwa Bado ligi ni ndefu, ila hili gap tunalolitengeneza linaweza kutuletea shida huko mbele, muhimu ni Zizou afanyie kazi mapungufu yaliyojitokeza.
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom