Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa nimestuka mkuu Gang, nyie ni wakubwa wenzetu, tumechukua UCL mara 9 na nyinyi mmelitwaa mara 8!real Madrid wana jumla ya makombe 15 ya kimataifa.
Wakati AC Milan wana makombe 18 ya kimataifa.
ndio maana basi Milan inaitwa Most successfull football club in the world...
Shtuka
View attachment 72934 watakuja wengi na kung'ara kwa muda na kisha watapotea,lakini malaika weupe tutatawala milele,real madrid forever!
Tutatawala?
Wewe na nani? Nyoooooo!
Badala mkasaidiane kuinua timu yenu ya Nazareti, mumekalia vya wenzenu.
Nashukuru hao Madrid hawahitaji washabiki oya oya kama nyie, wanao wa kwao wanaowachangia viingilio na mauzo ya jezi.
#Mtumwa
Kwa mipasho ulonipa,nashindwa kujua wewe ni KE au ME.Tutatawala?
Wewe na nani? Nyoooooo!
Badala mkasaidiane kuinua timu yenu ya Nazareti, mumekalia vya wenzenu.
Nashukuru hao Madrid hawahitaji washabiki oya oya kama nyie, wanao wa kwao wanaowachangia viingilio na mauzo ya jezi.
#Mtumwa
wewe unajiitaga mwandishi wa habari..katika taaluma yako si umejifunza kitu kinaitwa freedom of speech na freedom of press sio..kwa hiyo ujue pia kila mtu ana haki ya kushabikia timu yoyote anayoipenda...nakuonaga una uchungu na hasira sana ukiona watanzania wanashabikia timu za europe...huwezi lazimisha mtu kushabikia timu za tanzania. uswahili kama huo ndio unarudisha hata maendeleo yenu. its a free world everyone is entitled to their freedom of choice...get on with it

Apo chacha...
Pipa limepata mfuniko!
Wazalendo wanasema unajitia...
Teh teh teh ningesema mimi ungenishambulia kila jukwaa ambalo ungenikuta.
Tutatawala?
Wewe na nani? Nyoooooo!
Badala mkasaidiane kuinua timu yenu ya Nazareti, mumekalia vya wenzenu.
Nashukuru hao Madrid hawahitaji washabiki oya oya kama nyie, wanao wa kwao wanaowachangia viingilio na mauzo ya jezi.
#Mtumwa
mkuu sasa mbona kama tunalazimishana..... hehehe! ila kama ni uzalendo wako umezidi.. bado sijaona soccer la kunishawishi kushabikia hapo bongo..
alafu mkuu wewe kama mwandishi wa habari za michezo ... punguza mipasho .... njoo ya hoja tushawishi tushabikie home!
mphamvu acha kujitia...njoo ujibu hoja...
mphamvu acha kujitia...njoo ujibu hoja...
:biggrin1: hawa ni wale watanzania conservatives...wamekulia wamesomea na wanaishi bongo kwa hiyo hata cultures za nje wanakua hawazitaki...mimi mipira ya bongo naangaliaga hasa kama yanga ikicheza coz my local team ni yanga lakini mpira wa bongo hata dakika 90 kumaliza inakua ngumu our local football is very poor compared na european soccer tuliyozoea....ila jamaa anamaindi anaona kama vile tunaukana u-africa nataka nimpeleke old trafford siku moja labda ataanza kushabikia man utd :happy: