witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,710
- 47,099
Eeebwana eeh ...hapo kung'ang'aniwa lazima asee!Wanapenda wa TZ kwa sababu wanaamini wakiwa TZ wana uhakika wa kuwa huru, na kufanya shughuli zao Kilimo na Ufugaji naona haya ndio yanawafanya kutupenda wa TZ.
Maana Burundi wanawake ni wengi sana hakuna ardhi ya kilimo wala Ufugaji watu ni wengi.
Sensa ya 2010 ilionyesha Burundi ina raia 10,450,901
Wanaume 4,650,700
Wanawake 5,800,201