Maisha halisi ya Burundi

Mbona unashangaa? Wenyeji wa Burundi ni wale wale wa Rwanda yaani ni hao hao Watsi na Wahutu. Kutokana na fujo zao za mika nenda rudi hawapendi na sisi hatupendi kuwaita kwa makabila yao. Bali wanaitwa Wanyerwanda kwa wale wa Rwanda au Warundi kwa wale wa Burundi Lakini ni makabila hayo hayo ya Watsi, Wahutu na Watwaa. Ni wazuri wa sura hasa Watsi.
Burundi nakataa.
Burundi weusi halafu wabaya aiseee hatta bure siooi.
 
1572570643288.png
 
Baba nakuja pm tuchonge napenda sana biashara za nnje
Mkuu fursa zipo nyingi ila tatizo ni machafuko ya kisiasa. Mimi naishi huku kigoma na mwendo wa burudi nikama nauri ya elfu 5000, na mfano wa fursa za biashara kutoka burudi kuja Tz. Unaweza nunua sabuni za burundi katoni inauza 2000/= na ukifanikiwa kuifikisha Tanzania inauzwa kwa bei ya 11000.
Fursa ya pili ni vitenge vya burundi moja ni imara kutokana na viwanda vyao asilimia nyingi wanatumia magome ya miti maka low matirial ya nguo.
Furusa ya biashara kutoka Tz kwenda burundi. Ukiwa na mahindi ukaenda kuuza burundi faida itaipata mara mbili. Vipo vitu vingi ukitaka niambie nikuelezee kwa upana zaidi but pia kuna changamoto zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni fursa njoo niko inbox mkuu
umelenga mule mule , nafanya kazi in and out bujumbura nipo kigoma ,,, hujakosea mkuu , hasa umalaya . mrundi hana kawaida ya kumkatalia mtu na wanapenda starehe sana . vitu wanavyopenda warundi ni mavazi ,,, chakula kama wali , i mean mchele w kutoka tanzania . hawapendi kufanya kazi wakina mama zaidi ya kufanya vibiashara vya hapa na pale ,,,,, ukiwa disco usishangae mwanamke akakutongoza na ukikubaliana naye ukamuacha na kutongoza mwingine ,,, maisha yako yapo rehani.

kwa sisi wana kigoma , burundi ni sehemu muafaka sana kuendesha maisha , kwani bidhaa zetu tunanunulia burundi hasa mahitaji ya nyumbani mfano ,,, nyama kigoma tanzania kilo tshs6000/7000 ,,, burundi mugina tshs4000,,, maharage kg tz tshs1800 ,,, br tshs1000 . simu ndiyo usiseme bei ya tz na burundi kwa simu ile ile , tofauti unaweza kukuta tshs 30000/=. mwezi jana nimeacha change ya pesa ni tshs 10,000 kwa fr 11,500/=.

tatizo la kupitisha vitu border ndiyo changamoto , vitu vichache hutozwi ushuru wa tra , lakini vikiwa vingi unatozwa ushuru . mchele burundi kilo moja ni fr 3000 wakati sasa hivi kigoma ni tshs 1000-1200 kwa kilo ., ukipitisha mpakani chini ya kilo 100 huo ni wa kula hutozwi ushuru ,, mtu anajitahidi kukata mafurushi madogo madogo kwa kila gari anabeba kilo hata 400 kwa mkupuo . kuna makampuni ya mabasi ya hamza transit , burugo travel na luba express , yanayofanya usafiri bujumbura kigoma .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rushwa kwao iko nje nje nilishangaa mno kuona maafisa wakubwa wa uhamiaji,polisi na wafanyakazi wa Airport wakiniomba rushwa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu fursa zipo nyingi ila tatizo ni machafuko ya kisiasa. Mimi naishi huku kigoma na mwendo wa burudi nikama nauri ya elfu 5000, na mfano wa fursa za biashara kutoka burudi kuja Tz. Unaweza nunua sabuni za burundi katoni inauza 2000/= na ukifanikiwa kuifikisha Tanzania inauzwa kwa bei ya 11000.
Fursa ya pili ni vitenge vya burundi moja ni imara kutokana na viwanda vyao asilimia nyingi wanatumia magome ya miti maka low matirial ya nguo.
Furusa ya biashara kutoka Tz kwenda burundi. Ukiwa na mahindi ukaenda kuuza burundi faida itaipata mara mbili. Vipo vitu vingi ukitaka niambie nikuelezee kwa upana zaidi but pia kuna changamoto zake
Mkuu nipokee PM
Nahitaji kujua zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom