Maisha halisi ya Burundi

Warundi Ni wezi Sana hao ,yaan usimwamin kumleta mrundi kwako lazima atakuliza tu .
Warundi wengi wanatumikishwa na watz hasa wa mkoa wa kagera na kigoma kwa ujira mdogo Sana.

Madem wa kirundi Wana maji balaa .

Narudia tena usije mwamin demu wa kirundi et umwache ndani kwako alaf ww uende kazin utalikuta geto limepukutishwa lote.

Warundi kwa asili Ni wachaf wachaf nadhn hii Sabab ya dhiki walizonazo ,.

Ukimkuta demu wa kirund yule mixer mtusi na mhutu utafurah Ni wazur balaa Wana rangi fulan adimu Sana.

Ulevi ndio nyumbn demu wa kirund mnunulie Primus kubwa mbili yaan ushamaliza
Kwa hiyo nikiwapiga bucket mbili napiga foursome 👏🏾
 
Nikusaidie kidogo kufikiri.....Bitoz kabisa anae endesha mkoko wa Bei mbaya huko Bongo yenu yaani Jaguar pliza! kuleee ndani ya Maseru analipwa kwa mwezi Elfu tisa tu! lkn maisha Bora yake ni utakaa chini ufe!

na daladala zao ni Taxii huko kwenu na unasafiri kwa sh.2 nauri! km daladala zenu hapo!! sikuwahi kuona mikokoteni huku! wala wachuuzi! Maskini kabisaaa anasofa set kali km la Bakhresa!...Jiko lake lilivosafii ni utasema hkn shida huku! lkn ndo maskini hao.

Zimbabwe analipwa Billion moja lkn maisha ya hovyo mnoo! Nachelea kusema ulikurupuka kuwa hukumu hao wana Burundi! tembea uone! Mtwara kwenu walivo maskini km kuleee Mahurunga!! ni utakonda ghafla konda unahongwa Nazi ili uwe unatoa lift kila siku!
 
Msiwadharau warundi wengi wamewekeza nje ya afrika kwa kuwa na warundi wengi wanaoishi ulaya,Marekani na Arabuni karibu kila nyumba mjini bujumbura ina mtu yuko ughaibuni anasaka noti kwa ajili ya kusaidia familia yake,Warundi wengi wanajipenda na wanakanyaro,vijana wakirundi wengi ni masharobaro wanapenda kuvaa nguo za thamani,kumiliki simu ya thamani,wangi ndoto zao ni Marekani,Dubai,Oman,UK, na South Afrika.
Hawa ni warundi wa mjini.

Wanawake wa kirundi wa mjini wanapenda maisha mazuri ya kitajiri,hata ukitaka kumuoa lazima akuulize unachomiliki yaani una nini na nini
 
Nikusaidie kidogo kufikiri.....Bitoz kabisa anae endesha mkoko wa Bei mbaya huko Bongo yenu yaani Jaguar pliza! kuleee ndani ya Maseru analipwa kwa mwezi Elfu tisa tu! lkn maisha Bora yake ni utakaa chini ufe!

na daladala zao ni Taxii huko kwenu na unasafiri kwa sh.2 nauri! km daladala zenu hapo!! sikuwahi kuona mikokoteni huku! wala wachuuzi! Maskini kabisaaa anasofa set kali km la Bakhresa!...Jiko lake lilivosafii ni utasema hkn shida huku! lkn ndo maskini hao.

Zimbabwe analipwa Billion moja lkn maisha ya hovyo mnoo! Nachelea kusema ulikurupuka kuwa hukumu hao wana Burundi! tembea uone! Mtwara kwenu walivo maskini km kuleee Mahurunga!! ni utakonda ghafla konda unahongwa Nazi ili uwe unatoa lift kila siku!
😄😄 hiki Ni kiswahili Cha wapi?Kwanza hakuna gari inaitwa Jaguar pliza,pili hakuna Gari inaitwa maseru labda ulimaanisha Maserati?😄😄
 
Huyu mleta mada kafikia uswahilini ya Bujumbura urundi ndo anakuja kutisha watu hapa! sisi ni much knows wala hatuoni aibu kuwa ivo ! Kwa mfano hapo Bongo kwenu! ukipiga picha kule Mbagala kuu au maji matitu wkt wa mvua!! au Tabata kisiwani vile!! .... hata kulee kwa mbezi ya wabarikiwe !!

utaona barabara zilivo shida lazima mtu wa mkoa ataogopa tu!......hata hapo Manzese /Mburahati kuelekea Mabibo farasi! siyo pazuri kimaisha! ukiambiwa hiyo ni Bongo utaharisha! ......

huko mbali hivi ukiletewa Picha za kwa Aziz ally kuleeee!! baharini Nyuma ya NBC club utaitamani Dar kweli weye??/ lkn watu si wanaishi na hawatoki huko! kwanza Bajaji tu haifiki!! mwisho ni hapo NBC club! ukitembea kule km ni predshee!! utahisi kukabwa!kabwa hivi!

Twende Nairobi jiji kubwa EA hivi Kibera utatembea weye kweli!! yaani kule ukiwa mgeni wanakujua tu na lazima utoe hela kwa lazima!!! hutaki unapakwa kinyesi kibichi cha mtu!! nyumba zao ni iron sheeet! tupu! na hakuna steamer! haya turudi Mwanza, kisumu....

Usiwasimange hao kwa uelewa wako mdogo huo!! kifupi ulitemebelea maskini km weye mwenyewe.....hayo yapo Duniani mpaka SA...USA mpaka Israel pamoja na majidai yao yote na kupata ruzuku kubwa kubwa kutoka kwa baba yao Mfano ni wakazi wa Dimona areas nk!
 
😄😄 hiki Ni kiswahili Cha wapi? Kwanza hakuna gari inaitwa Jaguar pliza,pili hakuna Gari inaitwa maseru labda ulimaanisha Maserati?😄

Kiswahili cha wapi?? hukuelewa nini Mkuu labda!! hkn Msamiati hapo!! hujui Magari weye unajua huyo ni Mnyama tu ndg pole sana unasafari ndefu!!....Maseru siyo gari Mkuu unasikia??? ...... Nachelea kusema hujasoma kabisaaaaa!!!

yaani nimejibiwa na Bonge la kilaza!! kifupi umekurupuka na inaonyesha ulivo kilaza kaa ivovo na Elimu yako butu hiyo!! usiite maseru tena! ! jamani ata basi ku google tu Dark web! basi napo hujui???...kusema eti hiyo ni gari inaonyessha weye ni Bonge la st kayumba!
 
😄😄😄 hakika mke wangu hujakosea,Mumeo natafuta pesa nikununulie 'Jaguar pliza' ukawatambie wakina mama wenzako hapo Bujumbura.
 
Back
Top Bottom