Real friends | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Real friends

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by DJ Imma, Jun 20, 2012.

 1. D

  DJ Imma JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  am boy 27yrs!! natafuta marafiki wa kike wa ku chat na kutembeleana:

  VIGEZO:

  awe mkweli na muwazi
  umri kuanzia 18-30
  awe ana shughuli maalumu, mfano:- kazi, biashara, au mwanafunzi
  sichagui kabila, dini wala muonekano
  asiwe nje ya dar (kama atakuwa nje ya dar awe anauwezo wa kuja dar muda wowote)
  asiwe mnafiki / mwenye majungu na mgombanishi
  asiwe mlevi wala mtuniaji wa sigara
  asiwe nje ya maadili ya kitanzania na asiwe na wapenzi zaidi ya 1 na kama n single girl asiwe anatanga tanga (malaya)

  aliye tayari anicheki kupitia
  emmanuelvitalis@tanzaniamail.com
  dj.imma@yahoo.com
  djimma@hotmail.com
  mobile 0713 644485.
  land line 2128333
   
 2. y

  yaliyomo yamo Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuwa muwaz bas watafta rafk mpenz mbona vgezo na mashart haviendan na ombi lako?
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Kweli maana vigezo vigumu lol
  Hapa hapati mtu
  Halafu humu kuna WAMAMA tu labda aende fb
   
 4. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  All the good lucky...
   
 5. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mbona kama anatafuta mchumba hiyo ya kusema awe anakuja dar kila mara urafiki gani huo?
   
Loading...