REA imetelekeza Mradi wa Kilosa Vijijini, Mfuruni na Idete

kasindaga

Senior Member
Sep 6, 2013
165
165
Tangu mwaka 2016 Rea ili Saini mkataba no:AE/008/2016-17/HQ/G/11 -Lot 6 na Mkandarasi State Grid ya DSM. Mshangao Mkandarasi huyo alileta nguzo mwaka 2016 ambazo mpaka leo haziko sehemu ya Mradi na masalia zimeteketezwa na moto.

Hii imekaaje May 2021 imekuja SUMA JKT tunaona wanaanza na kupandisha nguzo.

Tuna wasiwasi kazi hiyo lpo kama awali au SUMA JKT wana mradi mwingine mbali na State Grid?

Tunaomba ufafanuzi tunateseka sana.
 
Tafadhali onesha namba ya simu kwa wepesi wa kufatilia na kupata taarifa kamili
 
Mnajibu kama robot, mhusika amekutajia eneo na amekuwekea namba ya mkataba bado unaomba namba ya simu ya nini?
Kwa dunia ya sasa zipo taarifa ambazo ndio msingi wa huduma, shukuru na furahia sisi tupo kuwasikiliza na kufatilia taarifa zenu, wanaotoa ushirikiano tunafika nawo pazuei hata kupitia DM¡ siku hizi taarifa isiyo na mawasiliano haijakamilika
 
Tanesco swali hili huwezi jibu ndo maana unamjibu kwa ubabaishaji km kawaida yenu kama vishoka.Swali hili ajibu REA sio Tanesco
 
Back
Top Bottom