Re: Why Did Nyerere Support Biafra? - Semantics !

Solomon David

JF-Expert Member
Mar 1, 2009
1,148
16
why did nyerere supported pan africanism and at the same time Biafra? Why did nyerere opposed south african capital and at the same time allowed debeers into our diamond?

Jamani Zitto,

Unachinja sana lugha ya malkia.
Andika kiswahili na utaeleweka vizuri zaidi.
 
Nshamwambia mimi lakini hasikii.....huyu jamaa sijui vipi huyu...

Ndo mazao ya UDSM hayo na kina Omari Iliyasi

Let's stop this nonsense of ridiculing each other. That is childish and un-acceptable behavior to say the least.
 
if you can't tolerate then just quit

Why should I quit? I am going to deal with those who want to tarnish the image of this platform. Mind you, if you can dish it out then you should be able to take it with stride. It is ridiculous we are now debating over trivial issues instead of analyzing what Zitto brought to the table. Let this discuss the contents of the book and not the cover (grammar, tenses). Even- Who is Dat Family quarterback- Drew Brees, wouldn't put up with this.
 
Jamani Zitto,

Unachinja sana lugha ya malkia.
Andika kiswahili na utaeleweka vizuri zaidi.

Lugha ya malkia wako ni lugha tuu kama lugha zingine. Na kama unataka kushindana na watu kuhusu hiyo hiyo lugha ya malkia wako humu wewe unaonekana mchwa. Zitto is cleary upset and in an agitated state. We all write rubbish in that state of mind.

You moron, haya nenda kaangalie kwenye kamusi maana ya "moron" hiyo lugha ya malkia wako.
 
why did nyerere supported pan africanism and at the same time Biafra? Why did nyerere opposed south african capital and at the same time allowed debeers into our diamond?

why did nyerere supported.....Why did nyerere opposed

Hizi lugha za watu jamani hizi, zinaumbua sana.

Ndiyo mambo ya UDSM tuliyokuwa tunasema hapa. Huyu ni Zitto Kabwe au mshashi tu kajibandika jina? Maana kama Kabwe hatari. Naona nataka kuwa kama yule mchizi aliyekuwa anadai Regia atoe namba yake ya kadi CHADEMA ndiyo aamini kwamba anayeandika madudu yale ni Regia.

Zitto anaharibu mpaka nakuwa siamini kama ni Zitto wa kweli au wa kuchonga.

Lakini kwa products za UDSM siwezi kushangaa.
 
are you kidding me? Drew Brees would love this shyt hommie

On a serious note, how are them Saints doing? Are they contenders or pretenders this season? I heard they don't have a running game this time...What about Reggie Bush and Pierre Thomas' injuries?
 
Lugha ya malkia wako ni lugha tuu kama lugha zingine. Na kama unataka kushindana na watu kuhusu hiyo hiyo lugha ya malkia wako humu wewe unaonekana mchwa. Zitto is cleary upset and in an agitated state. We all write rubbish in that state of mind.

You moron, haya nenda kaangalie kwenye kamusi maana ya "moron" hiyo lugha ya malkia wako.

Tatizo hapa si lugha tu, tatizo hapa mtu anaonekana hana ujuzi kuhusu nini anajua na nini hajui.

Mtu anaonekana hata decision making, ya kwamba Kiingereza sikijui vizuri, hivyo niandike Kiswahili ninachokijua vizuri, anashindwa.

Tatizo.... inawezekana hata Kiswahili hakijui. Ushamsikiliza Dr. Slaa alivyoboronga Kiswahili katika YouTube clip aliyoiweka Mwanakijiji juzi? Aibu tupu.
 
On a serious note, how are them Saints doing? Are they contenders or pretenders this season? I heard they don't have a running game this time...What about Reggie Bush and Pierre Thomas' injuries?

they'll be a'aight .... they aint gonna win tho'
 
Lugha ya malkia wako ni lugha tuu kama lugha zingine. Na kama unataka kushindana na watu kuhusu hiyo hiyo lugha ya malkia wako humu wewe unaonekana mchwa. Zitto is cleary upset and in an agitated state. We all write rubbish in that state of mind.

You moron, haya nenda kaangalie kwenye kamusi maana ya "moron" hiyo lugha ya malkia wako.

Tatizo si kwamba mkubwa hajui tu hiyo lugha. Tatizo hajui, halafu hajui kwamba hajui, anakuja hapa kwenye jukwaa la Watanzania ambako angeweza kujieleza kwa mikogo yote ya Kiswahili, kwa Kiingereza cha kuunga unga.

Sasa matokeo yake hata ukitaka kuwa convince watu watakuona mtupu tu, kwa sababu kama umeshindwa kujieleza kwa ufasaha na sarufi safi utatakaje tuamini kwamba unaelewa unachosema ?

Kama una uwezo wa kujieleza vizuri Kiswahili halafu ukachagua kujieleza kiingereza ambacho hukijui vizuri, bila sababu ya msingi, mimi naona hata kutumia decision chart tu hujui, hata kabla hujaniingiza kwenye ma Biafra na ma Das Kapital huko.
 
Mods naona sijui mmelala watu wanataka kuongea issue za maana wengine wenye vichwa vya ajabu wanakuja kuharibu tu humu
 
anakuja hapa kwenye jukwaa la Watanzania ambako angeweza kujieleza kwa mikogo yote ya Kiswahili, kwa Kiingereza cha kuunga unga.[/QUOTE]

Tafadhali tunaomba tafsiri ya hiki kiswahili chako, ili sisi waswahili tukuelewe kwa kiswahili chetu.
 
Sikufichi nimei report hiyo post yako,definetly post kama hizi zinafanya wengine iwe vigumu kuchangia. Huu ni upuuzi wa hali ya juu ambao hautakiwi kuvumuliwa kwenye forums za watu wenye akili timamu na wenye kujali issue zinazolikabili taifa lao....Kama ni mara ya kwanza kwa baadhi ya watembeleaji wa foru, jii halafu wakakutana na huu upupu unadhani first impression yao itakuwa vipi?
Acheni ujinga msituharibie forum bana.

Mushi,

I have urged these people to refrain from using derogative terms but to no avail. It is really sad that this forum has sunk this low, people are obsessed with Udini and discussing trivial issues (spelling, grammar and tenses). It seems we are endowed with abundance of English teachers in this forum.
 
Back
Top Bottom