RE: We are not alone in this debate

Kalambo

Member
Oct 28, 2010
12
5
We might think as Tanzanians we are the only ones who found the just ended general elections as a joke if not an insult to our intelligency. Members of the international community who wish Tanzania well are trully bothered by what they saw, heard and felt. I can confidently say that the Tanzanian government should expect some kind of pressure sooner than later. Watch this space!!
Listen to all the clips.

YouTube - The Tanzania Election
 
Hoja ya hawa wateule wa Rais, watu kama wakuu wa wilayat na mikoa, kwamba wanatumika kuimarisha CCM, nadhani ni valid.
 
Wasema CCM is the most democratic party in TZ 'internally', kwi kwi kwi..are these people high or what?
 
Mbongo kama kawaida, kachemsha mpaka aibu, angalia part 6 jamaa ka cease.

PhD candidate huyu hata communication skills tatizo. Unaona kabisa hata Mtaliano ana struggle kujieleza kwani lugha si yake, lakini mbongo ka cease kabisa, halafu ukikaa naye karibu unaweza kupata mbata, anarusha mikono huyo.

Jamaa atapata PhD yake lakini.
 
Ninaweza kuwa heavyly biased lakini naona wazungu wanafanya analysis na wenzangu wanaeleza opinions zao.
 
Ninaweza kuwa heavyly biased lakini naona wazungu wanafanya analysis na wenzangu wanaeleza opinions zao.

Kuna jamaa mbongo wa kwanza kaharibu flow nzima, hata kujieleza kazi, anahitaji kwenda kwa speech therapist inawezekana akamsaidia. Hivi wanawaokota wapi hawa watu?

Halafu akiongea ana ugwadu wa kujieleza lakini hawezi, mpaka anafunga macho. Communication skills muhimu.
 
Mbongo kama kawaida, kachemsha mpaka aibu, angalia part 6 jamaa ka cease.

PhD candidate huyu hata communication skills tatizo. Unaona kabisa hata Mtaliano ana struggle kujieleza kwani lugha si yake, lakini mbongo ka cease kabisa, halafu ukikaa naye karibu unaweza kupata mbata, anarusha mikono huyo.

Jamaa atapata PhD yake lakini.

Nimecheka sana..lakini communication skills sio kuongea tu, kuna kuandika, kusikiza na kusoma vilevile.
 
Ahsanteni sana kwa michango yenu na uchambuzi. Kama ni safari ya kuelekea kwenye demokrasia ya kweli, Tanzania tunayo na hatutafika siku za hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom