Re:WASSILA NANI KAKUTUMA?

MWEME

Member
Dec 3, 2010
6
0
CHADEMA HAKUNA KUONGEA NA SERIKALI YA JK HADI IKIRI HADHARANI KUWA ILICHAKACHUA USHINDI WA JK:angry:
 
CHADEMA HAKUNA KUONGEA NA SERIKALI YA JK HADI IKIRI HADHARANI KUWA ILICHAKACHUA USHINDI WA JK:angry:
Hiyo ni hasira suluhu huwa haiji kwa kukataa kuongea na adui, kama wangefuata ushauri wako nafikiri leo dunia ingekuwa uwanja wa fujo.
 
Kuhusiana na swala zito la KATIBA MPYA na Tume Huru ya Uchaguzi, CHADEMA zungumzeni hata na SHETANI MWENYE VICHWA SABA alimradi lengo la wananchi halipati kupindishwa hata tone.

Endeleeni ...
 
Back
Top Bottom