Re: Waliotafunwa pesa za DECI jipangeni sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Waliotafunwa pesa za DECI jipangeni sasa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mpasuajipu, Oct 28, 2010.

 1. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nataka kuwakumbusha wale ndugu zangu tuliodhulumiwa pesa za DECI wakati ni huu.
  Msipotumia nafasi hii basi hatutapata tena muda mwingine. Maana pesa zetu ZILICHAKACHULIWA sasa tutumie rungu hili tarehe 31. Mgombea mmoja tu kazungumzia na kuahidi kulitatua tatizo hili katika muda wa siku 100 akiingia madarakani.Jamani huyo si mwingine ni Dr. wa ukweli Dr.SLAA. Tumpatie kura zote. Hizo pesa zetu ndio zinatumiwa na MAFISADI sasa kuturarua rarua sasa tusikubali tena. Jamani wana DECI mpooooo, amkeni sasa. Jitokezeni kwa wingi tarehe 31 kama mlivyokuwa mkienda kuvuna miti yenu sasa ni kumwaga kura kwa Dr. wa ukweli kama utitiri. :israel: KURA ZOTE ZA WANA DECI KWA CHADEMA JAMANI MSILALE MPAKA KIELEWEKE.
   
Loading...