Hawawezi Kuacha wizi sababu ile ni roho Dawa yao ni kuwatenganisha na jamii huwezi acha magugu shambani Dawa ya magugu ni kuyaondoa shambaniwakipona hapo wafikirie kufanya shughuli halali ya kuwapatia rikizi kila siku za maisha yao
Mmmh!! Wengine wanaiba mabilion tunawapeleka kufanya usafi hospitali.