Re: Ushoga na kauli za viongozi wetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Ushoga na kauli za viongozi wetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nginda, Jan 23, 2012.

 1. nginda

  nginda JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 745
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF naomba kuleta huu uata kwenu. siyo kwa niya ya kuingilia maslahi ya mtu.

  Nimekuwa nafuatilia sana hili sakata la ushoga na hata mambo yaliyoletwa na mkubwa wetu bwana Cameroon. Nawapongeza jamaa zetu wanaoliwa kiboga kuwa wamepanda cheo na sasa wanaitwa makameroon.

  Lakini niseme kuwa mambo ya ushoga licha ya baadhi ya viongozi kusimama na kulaani kauli ya cameroon, huu ushoga ulikuwepo na hawa viongozi wanapishana nao njiani kila siku. leo baya limekuwa la kauli ya kameroon? Ukisoma magazeti ya udaku wanatajwa saana, tena kwa majina yao na mitaa wanayoishi. Hawa viongozi walikuwa wapi kuchukua hatua? Au wanasemea tu midomoni huku wao wakiwa wateja wa hiyo habari?

  Nikirejea kwenya sheria ya rushwa, wanasema ukikamatwa na rushwa, basi aliyetoa na aliyepokea wote wako hatiani. Sasa hawa ma-customer wa ushoga mbona hatusikii kiongozi anayelaani? Bahati mbaya sana nasikia hata viongozi wakubwa wa vyama vya siasa na serikali nao wanaliwa viboga. Mbona hawa viongozi wanasemea tu midomoni angali nao wala na waliwa?

  Binafsi nachukia ushoga na ninalaani kwani Mungu hapendi. Na kama ningekuwa juu basi ningeshashusha moto. Naombeni msinilaani kwa hilo kwani nanyi mtalaaniwa.


  Wana JF naombeni michango yenu.
   
 2. nginda

  nginda JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 745
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  washkaji mbona kimya au nimegusa maeneo nyeti?
   
 3. salito

  salito JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  mhh me simo..
   
 4. nginda

  nginda JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 745
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hili ni jambo la kidunia na kama leo haumo kesho ama ndugu yako au mwanao anaweza kuhusishwa.
   
 5. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2013
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  Hivyo nyinyi mnawaingilia wanaume kwa matamanio mkwawacha wanawake? Kumbe nyinyi ni watu wafujaji! [7:81]
  Hivyo nyinyi mnawaingilia wanaume kwa matamanio badala ya wanawake? Hakika nyinyi ni watu mnao fanya ujinga kabisa! (An-Naml: 55)
   
Loading...