bomouwa
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,149
- 798
Habari wanajamvi?
Mfumo wa elimu ulio rasmi ni kuanzia elimu ya msingi,elimu ay upili sekondari (ordinary level),Advanced secondary level,University (Bsc,Msc,PhD,AP na full Proffessor.
Kwa kautafiti kangu nlichokafanya,watu wengi waliomo katika ajira mbalimbali hasa Serikalini na ealiozaliwa kati ya 1975-1990...
Wengi wao hawajasoma elimu ya mtiririko kama inavotakiwa yaani baada ya O'level wengi walianza na Astashahada(certifcate) na kuunga Diploma then Bsc mpaka wengine PhD holders na wengine maproffessor.
Wengi wa watu hawa wanaexperience torture ya kupambana na mara nyingi husoma kwa gadhabu ili kufuta mentality kuonyesha kua wanaweza.
Tafiti yangu imenionyesha vijana waliiozaliwa kuanzia 1991-1995 Wengi wanafata mifumo iliowekwa yaani primary,o'level,a'levl to Bsc..
My take
Wengi waliosoma.elimu ya kuungaunga (I declare mimi ni mmojq nlioanzq ertificate mpaka sasa ni Msc holder) wamekua na maendeleo,wabunifu,wajasiri na pia ni wagumu kukubali kushindwa na jambo.