RE: Prof. Shivji kutoa public lecture UDOM leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RE: Prof. Shivji kutoa public lecture UDOM leo

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by nsami, Jan 6, 2011.

 1. n

  nsami Senior Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana Jf

  Kwanza niwapeni pole wadau wote na wanaharakati kwa yote yaliyotokea huko Ar.

  Kwa habari za kuaminika nilizopata jioni hii ni kuwa Prof Shivji atatoa mhadhara juu ya Tafakuri juu ya mchakato wa utungaji wa katiba mpya nchini Tanzania. leo Alhamisi kuanzia saa 3 usiku.

  Mhadhara huo umeandaliwa na serikali ya wanafunzi college of education (UDOCE).


  QED
   
 2. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,304
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  ok thats good,
   
Loading...