Re: Nina tin ya udereva, je naweza anzishia biashara nyingine kama kufungua kampuni?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Nina tin ya udereva, je naweza anzishia biashara nyingine kama kufungua kampuni??

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Insabhunsa Gusa, Oct 24, 2012.

 1. I

  Insabhunsa Gusa Senior Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Ndugu,

  TIN ya udereva inafaa kwa biashara zingine?????
   
 2. ROKY

  ROKY Senior Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hapana ndugu,unahitaji kubadilisha hiyo tin,ina muhuri umeandikwa "only for non business use",utapewa tin nyingine isiyo na muhuri huo kwa ajili ya biashara.
   
 3. I

  Insabhunsa Gusa Senior Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Roky,

  Asante, tafuatlia...
   
 4. C

  Charity Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa msaada wa kufungua kampuni wasiliana na wanasheria info@vigilanceattorneys.com
   
Loading...