Re: NDEGE YA RAIS VIPI!!

kaka mtu

Member
Nov 15, 2010
17
3
Wadau nielewesheni, hivi ndege ya Mh Rais wa JMT ni nzima au ni mbovu? Je mara ya mwisho kufanya kazi ilikuwa mwaka gani? Je Mh JK amewahi kuitumia?.
 
hakujawahi kuwa na kitu ya namna hiyo hapa tz.
wala nchi haina uwezo wa kununua hiyo kitu.
 
Mkuu Ndege ipo na JK alishawai itumia na bado anaitumia,But inabeba watu wachache so due to wingi wa watu katika misafara ya JK ndege aitoshi wote,thus why aitumiki marakwamara japo Mramba aliamua ata Majani tule ilimradi Gulf stream inunuliwe
 
zipo...kuna gulfstream na fokker 100....wewe unaizungumsia ipi?
 
preta mtana ndege ya rais ni gul stream550 na fokker50 sio 100 fokker zipo mbili ile ya mwl aliyopewa na queen na hiyo nyingine
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom