RE: Natafuta rafiki wa kike anayeishi kwa matumaini.

Aisee nimehisi mwili kusisimuka, pole sana Kililo. Kila la heri dogo.





alfredmkohiatgmaildotcom
 
haya mambo ni changamoto sana ila yapo embu soma hii story ila ipo kwa kiingereza.

Living together as a serodiscordant couple

Godfrey_Paulina_Mtonga.jpg
CDC Zambia/Karrin Parker

Life was initially tougher for Godfrey and Paulina Mtonga of Lusaka, Zambia. The couple have now been married for 32 years. They have 11 children and 8 grandchildren. In 1994, they went for HIV testing together. Godfrey was positive and Paulina negative.
“The first week was very bad for us,” Godfrey recalls. “The counsellor came to visit us the very next day.” The counsellor kept coming, and the couple decided to stay together. They continued to have a sexual relationship, using condoms from a nearby clinic. Godfrey started taking antiretroviral treatment in 2002. Pauline has remained HIV-negative.
Godfrey Mtonga’s advice to everyone is to get tested. “If you are positive, love each other and take your medicine at the right time. We have lived with our status as a discordant couple for the past 18 years because we support each other.”

nimeipata WHO | Living with HIV when one partner is positive and the other is negative


Hapana tusi generalise hizi ni case chache tu ambazo Kwa kiasi kikubwa inategemeana na Genes za hawa watu, so ni swala la ki biologia zaidi, maana haiwezekani Kuwa hawa watu miaka yote huyu mama hajawahi kupata mchubuko wakati wa tendo na mbaya zaidi wanawake ndo wake katika risk kubwa ya maambukizi kuliko mwanaume sababu za kimaumbile pia.

Katika hali ya kawaida, michubuko haikwepeki!!!




skype: alfred.kohi
 
Ni kweli kabisa kesi hizo za serodiscordant couples zipo chache sana,hata mimi nashangaa inatokeaje. Madaktari watusaidie kwa hili.
Na hili suala la mtu ambaye ana VVU kupata mtoto kwa njia ya kufanya mapenzi nimeshalisoma, na lipo hivi; Ikiwa mtu ambaye ameathirika na VVU ataenda kupimwa na kufuata masharti ya kutumia ARV anaweza kuvifubaisha VVU na kivifanya visiongezeke na pia kutokuwepo kwenye shawaha na sperms VVU wanakuwa vimejihifadhi kwenye chembechembe nyeupe za damu tu.
Sasa basi wakati kufanya mapenzi inabidi fore play itumike sana ili Mama asiwe mkavu, na kitendo kifanyike kwa utaratibu ili kuzuia mchubuko wowote ambao unaweza kusababisha maambukizi kwa sababu ya damu kutoka kwenye mchubuko. Ikiwa hivy basi Mtoto anaweza kupatikana na kusiwe na maambukizi kwa mwengine. hii ni kama muathirika ni baba, na kama mama ni muathirika njia za kumlinda mtoto athiathiriki ni kutumia dawa za kuzuia maambukizi kutoka kwa mama , kujifungua kwa operesheni na kutokunyonyesha kwa muda mrefu. Mimi sio daktari ila nasoma hizo habari madaktari tufafanulieni hili vizuri. Ila kwa kifupi wataalamu wa afya wanakiri kwamba kunauwezekano wa mtu mwenye VVU kupata ujauzito au kumpatia ujauzito mtu pasipo yule ambaye si muathirika ambaye wameshirikiana kupata maambukizi ya VVU.
 
Back
Top Bottom