RE: Nahitaji Meza kubwa ya ofisi ( Meeting/conference table))

mwakibete

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
3,067
2,296
Salam wadau,
Kama mada inavyosema, nahitaji meeting table yenye uwezo wa kubeba viti visivyopungua 8.

Nipo Dar Es Salaam.

Mwenye nayo tuwasiliane tafadhali.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom