Re: Mzee madiba alipiga magwanda membe kuwa makini

Karikenye

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
564
279
Igweeeeeeeeee... heshima mbele viongozi..!! Kumbe Mzee Madiba alipiga GWANDAZ... sasa akina Membe wanapowakalia kooni CHADEMA na GWANDAZ zao sijui Mandela hawamjui vizuri au? Wakati amekwenda underground kwa ajili ya kuanzisha UMKHONTO WE SIZWE (MK) GWANDAZ lilikuwa ndio vazi lake...!! Haya Bibi KIROBOTO na NDUGWAI wako, pamoja na maelekezo yenu DHIDI ya GWANDAZ, Je, Mzee Madiba (MUNGU AMPE UHAI) akija Tanganyika akataka kuhutubia BUNGE la Tanganyika akapiga GWANDAZ lake mtatoa comment gani? Hebu kueni bana alaaa!!
 
Attachments

  • Mandela.jpg
    Mandela.jpg
    34.9 KB · Views: 759
safi sana!huyo ndiye mpambanaji wa ukweli.No Sweet without Sweat!wana CCM hawajapitia Sweat(shida) wao ni kurithishana tuu vyeo
 
Hamja waelewa Magamba! Sio kwamba wanakataa gwanda kuvaliwa, wanacho kikataa ni mvuto wa gwanda maana linakuwa rahisi kuutambulisha uhusika wa mtu na linavutia na kushawishi. Wao si wamejaribu kutengeneza ya kijani?! Kiko wapi?! Na unajua walivyo enda kwa fundi walisemaje wakati ndio wana muelekeza awashonee?! Ulizani watakuwa wamesema kama lile la Madiba?!! Watakuwa wametaja ugonjwa wao wa moyo kimya kimya kwa kunong'eza fundi "Kama lile la ...."!
 
Uongo mbaya. Yale magwanda yanawapa sana hadhi hawa jamaa. Who ever aliyabuni hakika. Ni mbunifu. Yaani hata kama huwapendi yale magwanda yanavutia sana.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hamja waelewa Magamba! Sio kwamba wanakataa gwanda kuvaliwa, wanacho kikataa ni mvuto wa gwanda maana linakuwa rahisi kuutambulisha uhusika wa mtu na linavutia na kushawishi. Wao si wamejaribu kutengeneza ya kijani?! Kiko wapi?! Na unajua walivyo enda kwa fundi walisemaje wakati ndio wana muelekeza awashonee?! Ulizani watakuwa wamesema kama lile la Madiba?!! Watakuwa wametaja ugonjwa wao wa moyo kimya kimya kwa kunong'eza fundi "Kama lile la ...."!
Jamani mbavu zangu mie. Ha ha haaaaaaa!
 
Tatizo la yale ya kijani ni kwamba yakichanganywa zile rangi za kijani na njano watu wanakuwa kama mmea wa sunflower. Kwenye mkutano inakuwa kama shamba la sunflower.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Tatizo la yale ya kijani ni kwamba yakichanganywa zile rangi za kijani na njano watu wanakuwa kama mmea wa sunflower. Kwenye mkutano inakuwa kama shamba la sunflower.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
kinauche .. ngoja niangalie vizuri

field-of-sunflower-helianthus-desktop-free-wallpaper.jpg

ccm+miaka+31+pemba+4.jpg
 
Back
Top Bottom