Re.mtoto wa mengi abambwa na madawa ya kulevya

Mpambanaji K

Member
Dec 29, 2008
84
6
Kuna tetesi kuwa Abdiel Mengi, yule mtoto wa Reginald Mengi amebambwa na polisi akiwa na mzingo wa madawa ya kulevya. waliokaribu na 'cycles' na kwamba tayari yuko mikononi mwa vyombo vya dola, waliokaribu na 'cycles' wadadidisi.
 
authenticity
 
Duh!! Kumbe movie bado inaendelea lakini habari hii bado haijathibitishwa lets wait and see
 
Kuna tetesi kuwa Abdiel Mengi, yule mtoto wa Reginald Mengi amebambwa na polisi akiwa na mzingo wa madawa ya kulevya. waliokaribu na 'cycles' na kwamba tayari yuko mikononi mwa vyombo vya dola, waliokaribu na 'cycles' wadadidisi.

vita vya wahindi na mengi
 
Ha ha ha ha ha ha,ule uchunguzi uliokuwa unafanyika vipi tena,hata kabla haujamalizika Abdiel kashabeba tena madawa?mmmmmh that guy,hawezi kuwa na akili ndogo ivyo,yani unajua una bifu na polisi,wahindi na maadui wengine wa baba yako then ukabebe madawa,bullshit!Wawadanganye wajinga,mi sitaki hata kusikia huu upupu......................Hivi iyo nguvu yote wanayotumia kuharibu image ya mtu kwanini wasifanye mambo mengine ya maendeleo????
 
Michelle...hiyo ni MOVIE ON THE MAKING....
 
Michelle Mengi ni joka la mdimu anauma na kupuliza chunguza utaelewa nini nachokisema mimi namfahamu vizuri sana huyu jamaa sio genuine kama anavyoionyesha image yake kwa kutumia vyombo vyake vya habari.
 
Back
Top Bottom