RE: Mrejesho wa maoni yenu kuhusu mwanamke niliyempenda, 12/12 / 2020

Usijali kamanda, mtu akishakuchoka hata ufanye nini ataona unamchefua tu. Unaweza kumnunulia zawadi ya laki mwingine akampa pipi akaona pipi ni safi kabisa wewe boya tu.

Utamove on na baadae ukiwa unakumbuka ulivyokuwa unajishusha na kuwa kama fala utajishangaa hivi ulikuwa umerogwa au...
 
Nimependa ujasiri wake hana kona kona...unajua siri ya wamawake wa namna hii?
Huwa wanatest mitambo...yaani ashakujua ubora wako na udhaifu wako then anaenda kwingine kuchek...sasa baada ya muda atacompare sample km tatu amini kwamba kwa hiki alichoandika kama hajafake.....She will definitely come back trust me...2021 haitaisha atarudi na usimpe nafasi akirudi.......
Unampaje ushaur konk boya kama huyu..aneendeshwa na mwanamke...yeye ni kutia huruma tuu uzi mzima.maneno meeengi
 
Nimejiona boya ndio maana nikaleta hii huku, ili tuelewane vizuri mnikumbushe nilipokosea
Ushaur ni kwamba.mwanamke wa hivo anakua keshapata mtu pemben labda anamprovide na mahitaj yake so akikuchek wew humtimiziii anayotaka so nawasivyo na huruma na wanaume yaan yeye hapo anajiangalia yeye tuu na maslah yake....yaan tayar kuna mtu anapiga mashine huyo ..ila wa hiv huwa wanarud baada ya mda fulan...sasa itategemea na uimara wako..ukiwa legevu ndo sahau hyo hata akirud atakua mguu nje mguu ndan anatafta mwingne wa kumsatisfy..yaan mpaka roho yake itakapo tulia..so wew atakua anakutumia tu anapokua hana pa kujishkiza...na inaoneka unalia sanaaa wew..acha hzo mambo..mwanamke si mama yako
 
Chairman Lee Brother, not your fault. You are IN Love. HEAD OVER HEELS.

Shida tu ni kuwa unayempenda hakupendi na hana chembe ya hisia juu yako.

Move on. It hurts, yes but only for now. You will be fine. I hate to tell you that it may be harder than it is now. And it may take even a a little longer to come back to your senses and heal. we've all been there at some point.

The solace is, you'll be fine, after all.

Stay strong. Holla at your ninja here if you need to talk.

Nigga be strong. Yo gotta be strong.
 
Noted mkuu
 
Thanks dude, nashukuru
 
Mapenzi bhana ukipenda unaweza kufikiri mwanamke ni mmoja tu duniani

Kama tungekuwa tunajifunza kwa watu yasingetutokea tatizo tutasema hapa atatokea mwingine atapenda kizembe tena

Mimi mwenyewe nimewahi kupenda yaliyokuja kunipata nimekuwa imara sana, najishangaa kwanini sikujifunza kwa niliyoyasikia kabla

Yaani ukiwa kwenye penzi unahisi huyo ni special kuliko aliyemtenda mwingine

Anyway, kwa uandishi wa demu ni slay queen ama vidada vilivyoenda enda shule

Huyo kapata mwandika kizungu mwenzie wewe huna swaga unaandika mineno miingi kiswahili kitupu

Lakini nina hakika kuna siku katika maisha yake atagundua alipotea na atakurudia

Akili kichwani kwako, kukusaidia tu ni kwamba ukimkubalia kurudi hesabu maumivu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom